Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
kwa mf wewe, ukanichochea mimi, na bahati nzuri nikachocheka kweli.....Msiende tu kupanga njama za kuleta uchochezi na kuharibu amani ya nchi yetu tukufu
Msiende tu kupanga njama za kuleta uchochezi na kuharibu amani ya nchi yetu tukufu
Mtanzania utakuwa wewe...Msiende tu kupanga njama za kuleta uchochezi na kuharibu amani ya nchi yetu tukufu
Hongereni sanaShukrani hata leo tulikuwepo pale. Mambo yanakwenda kama yalivyo pangwa.
Aksante, ningependa kufahamu kama na wewe kesho utakuwepo.Hongereni sana
Aksante, ningependa kufahamu kama na wewe kesho utakuwepo.Hongereni sana
Nilitamani sana kuwepo lakini nipo safarini utarusha updates angalau tufaidi kwa pamojaAksante, ningependa kufahamu kama na wewe kesho utakuwepo.
Mkuu unajua usiwe unaandika tu hata kama huna hoja...Msiende tu kupanga njama za kuleta uchochezi na kuharibu amani ya nchi yetu tukufu
...mkuu kwema laknHongereni sana
....kumbuka kuniletea chocolate mkuuNilitamani sana kuwepo lakini nipo safarini utarusha updates angalau tufaidi kwa pamoja
Kwema sana nipe habari ya mujini...mkuu kwema lakn
Nitakuletea pipi kijiti....kumbuka kuniletea chocolate mkuu
Sawa mkuu...ntasubiri kwa hamu kubwaNitakuletea pipi kijiti
...mjini kwema kabisaKwema sana nipe habari ya mujini
Beauty with brain au beauty tuMsiende tu kupanga njama za kuleta uchochezi na kuharibu amani ya nchi yetu tukufu