Mkutano mkubwa wa ndani wa madaktari

Mkutano mkubwa wa ndani wa madaktari

Hadi saizi mi sjauelewa msimamo wa madaktari,. Sjui wameogopa kauli ya vitisho la liwalo na liwe au msimamo ni mmoja,. Fanyeni jambo la kueleweka ili tujue moja ili jambo hili lisiwe la kuliongelea kila siku.

Si wameogopa wameona watanzania wanateseka bure.wenye wagonjwa karibu wote wanawalaani madaktari si serikali.
 
Madaktari wanatakiwa wafanye kitu kimoja ambaco nadhani wamekiruka: Wanatakiwa waeleze kwa lugha rahisi kabisa matatizo wanayokumbana nayo kazini, ukosefu wa vifaa, umuhimu wa vifaa wanayohitaji, vifo vinavyotokana na ukosefu wa huduma stahiki, masaa wanayokaa kazini na pia jinsi wangonjwa wanavyo lala chini na madhara yake.

Na kama wakiweza waorodheshe hospitali kuu yaani Muhimbili, hospitali za mikoa na wilaya na vifaa tiba vilivyomo/vinavyokosekana, na pale inapobidi waweke gharama (minimum) ambazo zinatakiwa kuboresha. Ni vema wajaribu kujibu propaganda kwa kueleza hali halisi ilivyo na mazingira magumu wanayokabiliana nayo, na wasisahau kukumbusha vifo vitokanavyo na ukosefu wa vifaa tiba.

Asante sana kwa kuweka vizuri swala hili la mgomo wa madaktari. Tunaomba wahusika watupe takwimu tu.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Uliyempigia kura kukuongoza anaruka majoka nchi za watu, wewe una kazi ya kuwamind madaktari tu? Na mbunge wako analipwa posho ya kuketi na kusema ndiyooooo, humuulizi? Take a hike dude!
ila naskitikia wananchi waliofikwa na maafa na wengine kupoteza maisha wakati madoctor walipokuwa kwenye mgomo inasikitisha sana,upo kwenye mgomo usiku unaruka club unapasua moja baridi,mshahara kwenye account yako unaingia,lakini anaekuwezesha kwa kulipa kodi inayotokana na juhudi zake anakufa hospitali kwa kukosa huduma!
 
wabunge wa upinzani wanataka sana kuiongelea hii issue lakini wabunge wa ccm wakiongozwa na spika wao hawataki

Wabunge wa CCM watapelekwa India wakiugua ndiyo maana hawaoni sababu ya kulijadili, ila nafikiri maadam madaktari wameonyesha utu kwa kushuka ni vema serikali ikaona umuhimu wa kushirikiana nao ili yale ya msingi bila kuingiza masuala ya siasa ufumbuzi upatikane!!
 
Back
Top Bottom