Mkusanyiko wa matukio ambayo yameshawahi nitokea

Poa mkuu, usisahau kunitag
Kuna baadhi ya story nikiziweka humu, naweza kuonekana nazitunga, ngoja nitupie zile za kawaida kawaida tu mzee.

Basi katika harakati za mtu mweusi, kuna msimu nilikutana na majanga sana, aiseee. Nikasema nini hiki kinanitokea katika maisha yangu. Nakosea wapi, na hii ndio misimu ilinufanya nianze kujua waganga, uchawi, kujua ndumba. Kuzifanya ndumba, misimu hii ilifanya niwajua ma Sheikh, wataalam wa visomi, nilifika stage nilijifunza hata kujua kumcheki mtu rohoni.

Kuangalia vitukio vya zamani, kupiga vi ramli,yaani mimi mwenyewe. Msimu huu ndiio nilimjua MUNGU wa kweli pia.

Nashangaa humu, watu wanavyo komaaaa kutaka kufanya ndumba, kuwajua waganga, huwa mawafata PM, nawapaga ABC wafungue macho.

Kifupi ukitaka ku deal na tatizo la uchafu la majani unao mwagwa na tawi la mti, piga shoka moja ,katika tawi. Utakuwa umeondoa usumbufu wa majani 1000 katk hilo. So usiangaike na majani. Tuendeleee na story.

Kipindi hiko, na play hero. Nilikuwa ktk sinto faham na kamanzi flani, tukawa katk mitafaruku, lukuki sana. Tuna solve hivi linakuja lile, nasumbuka sana usiku na ishu za giza,. Kuna wajinga wanaharibu kiti huko, naonekana mimi. Ma sooo yote mimi, hayo ni kwa uchache tu na mengine mengi ambayo ni personal mno siwezi andika hapa.

Sasa kwa vile ni bush, nikasema ngoja nisake manzi mwingine wa kumalizia hasira, kupunguza huuu upepo. Maana bad energy itaondolewa kwa engery, katk mingo. Nilikutana na manzi mkali sana aisee.

Alikuwa mzuri, white flan hivi isiyokela. Smooth skini, na masifa yote uyajuaayo. Nikasema huyu ndo huyu.
Kwa ujanja wote, sikutaka kuingia kichwa kichwa, nikaset mipango nifanye research juu ya huyo mtu, usije ingia anga za wachaw ukajuta.

Tafita ikatoa majib, mazuri 85+% , wanasema dogo yupo vzuri na kwao sio ndumba, ila dingi yake mtata, dogo analelewa ushuani, fence nene.

Kule bush, wajanja wa swagg zile wa kumuingia dogo wachache, wengi wanajitutumua na mkwanja. Nilikuwa na catch up faster na ku msoma mtu na kwenda ktk masafa yake.

Basi ikatokea kuelewana, manzi akanielewa, though mwanzo alikuwa na madharau mno. Baadae nikawa ni mtu wa kumchomoa night.

So, alikuwa hanaga simu, signal tuliyokuwa tunapeana ni pale nje kwao kuna kamba. So nikiwa around naenda kufunga nailon au kichupa cha juice anajua nipo around naruka naye.

Mchezo ulidumu kwa wiki kadhaaa, nilikuwa simpeleki mbali, nilikuwa JUNGLE Man, pale kwao kuna shimo. Lilikuwa halitumika, tulikuwa tuna vunja umbo humo[emoji86][emoji86], ( UJANA BANA).

Hata mtu akitoka nje haona watu wamesimama maana tunakuwa chini. Nikasema hii sio ishu ntaruka naye ghetto. Thou kutoka kwao hadi ghetto ni kipande na usiku

Siku ikafika, nikamuuliza ushawi tembea usiku, LEO NTAKUPA ADVENTURE AMBAYO HUJAWAHI PATA. pita naye porin, anaogopa, nikambeba mzeee.... Naji mwambafy tu, anajiona hili na hili body yupo na protector, ukicheki na zile story zangu za mtaani.

Ikawa ndii mchezo, naruka, naye, namrudish around saa tisa hivi, harakat zinginr ziendeleee. Ilikuwa kila wiki mara mbili au moja hizi mishe till siku alipokosekana room.

Namrudisha kwao, kumbe bhana walikuwa wanamsubili aludi.

Banwaaaa sanaaaaaaa...........
Mambo yalikuwa mengi mno.
Sent from my A1601 using JamiiForums mobile app
 
Sio kwamba nakuingilia katika utaratibu wako wa kusimulia; hapana, ila niseme kitu; unapoamua ku-share matukio kwa wanajukwaa haipaswi uwe unarukaruka, inapendza ukiandika simulizi 1 basi hakikisha inafika ukingoni ndio unahamia ingine, hii itavutia hata uzi kwa watembeleaji.
 
Sawa, mzee. Nimekusikia vema.

nguvu ya anonymous [emoji185]
 
Mikasa/visa hv vinavutia kuvisoma, ila sasa havitoi mafunzo kwa kuwa havifiki mwisho. Na mafunzo katika simulizi lolote hupatikana mwishoni.
 
Sawa, mzee. Nimekusikia vema.

nguvu ya anonymous [emoji185]
mkuu hii story toka 2017 bado hujaendelezaleza..... hasa ile uliyokua unafukuzwa na paka mara ukamwona binti uliyekua nae nyuma yako!

hebu malizia,
 
Sio kwamba nakuingilia katika utaratibu wako wa kusimulia; hapana, ila niseme kitu; unapoamua ku-share matukio kwa wanajukwaa haipaswi uwe unarukaruka, inapendza ukiandika simulizi 1 basi hakikisha inafika ukingoni ndio unahamia ingine, hii itavutia hata uzi kwa watembeleaji.
Mikasa/visa hv vinavutia kuvisoma, ila sasa havitoi mafunzo kwa kuwa havifiki mwisho. Na mafunzo katika simulizi lolote hupatikana mwishoni.
mkuu hii story toka 2017 bado hujaendelezaleza..... hasa ile uliyokua unafukuzwa na paka mara ukamwona binti uliyekua nae nyuma yako!

hebu malizia,
Tatizo unasimulia nusu nusu mkuu, uwe unamalizia

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepiga kambi hapa mkuu kamanda we ni baharia haramia
Uzi gan? Naomba link. Au comment namba ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua duniani kuna codes nyingi sana na siri nyingi mzeee. Usiku ule ndio ilikuwa usiku wa kushtuka kwa mambo mengi zaidi na zaidi kuhusu dunia.

Pia kugundua kuna watu wana siri nzito sana nyuma yao, wamezikumbatia siri hizo. Yule binti bhana, kwao walikuwa hatari tu ktk ishu za kidunia. Yote hayo nilikuja kuyapata baada ya kuulizana ,kuna siku akaamua kunipa black and white kuhusu yeye na kwao. Tuendelee ktik lile tukio.

Nilivyo mcheki yule mazni, nikajawa na maswali mengi sana kichwani, as iweje mtu nimuache kule then atokee huku, na giza hili mtoto huyu laini, anafikaje huku bila woga.

Nilivyoinuka na uso wa udadisi, aliliona hili na kuamua kujihami kwa sentensi fupi za mwanzo.

"Mpenzi, najua utakuwa una hofu, au maswali mengi sana ya kunihoji, lakini leo tutakuwa wote tuta zungumza kwa yale tutakayo jaaliwa kuambiana tutajuzana. Ila ukiona kuna mengine sito kwambia tafadhali usinikume kusema zaidi, kila jambo lina hatua, tutafahamu kwa hatua.."

Msela hapo, nilichokisikia kwa umakini na urahisi sana ni tutakuwa WOTE usiku wa leo nk. Nikamwambia fresh. Safari ya kwenda ghetto ikaanza, naji mwambafy njiani, kumbe nilikuwa narudisha kwa kipa dk chache zilizo pita.

Basi, kiulaini nikaingiza mzigo ghetto, nikatoka kuna mahala nikaenda kidgo kisha nikarudi. Tukafanyiana usafi wa mwili vizuri. Lakini yeye akanambia nisubiri kidogo, maana kuna ushenzi unataka fanyika. Akatoka nje kidgo, nikataka mfata akasema andaa tu mazingira ndani, ngoja nifanye ishu za kike kidgo.

Nikaitikia lakini, nikawa namchungulia anafanya nin, naona huyo, kaingia katik ki bustani kipo nje hapo, kisha kaangaliaaa juuu muda kidgo then akarudi ndani.

Basi, tukaoga na kuzama bed. Baada ya muda kidgo, tukawa tukizungumza, kila mtu akicheka cheka tu. Ndio akaanza ngoja nitumie muda huu kukujibu maswali yako yanayo kutatiza, lakini NAOMBA TUYAONGEAYO YABAKI NDANI YA PAAA HILI LA NYUMBA YAKO, NINA KWAMBIA WEW SABABU, NMEKUAMINI NA KUKUPENDA.

HApo ndipo akaanza kutiririka na upupu mwingi sana,. Ulio niacha kinywa wazi na moyo wenye kufurkuta, lakini huwezi amini ilipofika asubuhi, nikaona barida tu, like lililo tokea....

Yote kwa yote. Ila huyu mtu mapishi ya ndani, viungo nakshi alikuwa anajua hasa, viunga gani aweke kwenye chakula gani na wakati gani, mavazi ya kupikia yalikuwa yakibadilika hasa. Kila uchao, jinsi ya uchocheaji kuni iliyoweka jikoni ilifanywa kwa juhudi na mbinu hasa, ana hakikisha kuni haipoi moto, ulie moto huwakao unaendelea kuwa ndani ya mafiga yale.
Sema ndio vile tu, kizuri hakikosi kasoro.

nguvu ya anonymous [emoji185]
 
Aiseeee, nasubiri mwendelezo

Similar Discussions

Back
Top Bottom