Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 631
HAKUNA MAREFU YASIYOKUWA NA NNCHA....
....exactly....in this fiasco Ruge came out big....and now we wait for the judgement day....where bashite bin kolomije has to be punished by his boss ngosha....If this won't happen then judgement will be carried by the mass media itself...only a matter of time....I am awarding honorary PhD in Critical Thinking and Argumentation to Ruge mwana wa Mutahaba.
VERY SMART, HUMBLE, ANALYTICAL and ARGUMENTATIVE.
Ni kweli lakini limekaa pabaya! Inataka moyo kushusha pichu ili nesi afanye vitu vyake! Kukaa utupi mbele ya muuguzi (jamii) inataka moyo! Yetu macho! Uliyemsifu sana ni jipu! Utafanyaje?jipu lishaiva sana.
Mkurugenzi wa Vipindi wa Clouds Media amezungumza leo kupitia kipindi cha Clouds 360 kuhusu suala la uvamizi uliofanyika ofisini kwao ijumaa usiku.
======
Ruge: Niliwambia SHILAWADU siku ya Alhamisi mchana kuwa wasiirushe 'Story' bila kuongea na upande wa pili (wa Gwajima)
Ruge: Niliwambia Vijana wa SHILAWADU kuwa 'Story' kama ndo anayoisubiri RC basi ajue haitaenda hewani hata kwny Social Media
Ruge: Ijumaa niliwasisitiza SHILAWADU kuwa kipindi kile kisirushwe kwakuwa 'Story' haiko balanced
Ruge: Ijumaa saa 5 kasoro usiku nilipigiwa simu kuwa RC Makonda alikuwa kaja ofisini akiwa na maaskari wakiwa na silaha
Ruge: Nilimpigia simu RC Makonda kumhoji kwanini aje ofisini na maaskari wenye silaha? Akauliza kwanini nimezuia kipindi kuruka!?
Ruge: RC Makonda alikata simu, lkn nilipaniki nikiwazia hizo silaha walizokuja nazo ofisini. Makonda alikichukua kipindi kwny flash
Ruge: RC Makonda alisema "Bahati yenu" baada ya kujua kuwa waliokataa vijana wa SHILAWADU sio waliozuia kipindi isipokuwa mimi
Ruge: Nilimwambia Mkurugenzi wa Clouds(Kusaga) kuwa RC alitukosea heshima; kulikuwa na haja gani aje na silaha na ni rafiki yetu?
Ruge: Ukweli hakuna aliyepigwa ila kulijengwa hofu kubwa kwa wafanyakazi wa Clouds Media. Si jambo dogo hili!
Ruge: Tusikwepe ukweli kuwa sisi Clouds Media kama chombo cha habari tuna wajibu wa ku-balance story. Sijawahi kulazimishwa story...
Ruge: Kuacha shughuli za kazi, Makonda amekuwa akija hapa Clouds kama rafiki. Ila kitendo cha kuja na walinzi kiliwashtua walinzi
Ruge: Kama watanzania, hatutaki kuiona bunduki mitaani. Hili limetokea kutufungua macho kujua ma-RC na ma-DC wanavyofanya kazi yao...
Ruge: Sisi tuhukumiwe kama taasisi, wafanyakazi wetu wasitiwe hofu. Mimi sikuwekwa ndani, nilienda Polisi kuripoti suala hili
Ruge: Mtu akikosea kabla hatujaangalia cheo chake, tuangalie makosa yake. Si kudai eti wanaomkosoa wanapingana Vita ya [HASHTAG]#DawaZaKulevya[/HASHTAG]
Ruge: Mtu kuwa na nafasi ya Uongozi flani si sababu ya 'kuwapanda' watu . All we want is RESPECT!
Ruge: Video clips za CCTV zinazozunguka mtandaoni kweli ni za hapa Clouds Media. Sisi tulidhani Makonda angeomba radhi kwa kadhia hii
Ruge: Siujutii ukaribu wangu na Makonda. Hata akirudi akaomba radhi bado nitamfikiria! Tunataka kuendelea kumpa ushirikiano
Ruge: Niseme, urafiki na BUNDUKI siutaki. Wanaodai Makonda alikuja hapa Clouds akiwa rafiki wanapotosha! Ametumia vibaya madaraka
Ruge: Clouds inalaani kilichotokea, na inaomba Vyombo vya Habari vitoe ushirikiano ktk kukemea hili. Hatutaki kugombana na Serikali
Ninapata uhakika pasi na shaka huyu ni mke wa makonda.Kanywe maji ya betri km unaumia sana lakini huyo mumeo,basha wako au mchepuko wako lazima aondoke tuu
Kuna mpuuzi mmoja anaitwa Nyani Ngabu alisema ule si uvamizi..
Ila we mrundi una moyoMbona hawarushi clip ya hayo yanayosemwa? Tumeona tu anamlinzi na inatakiwa. Mkurugenzi hajasema kuwa atachunguza.
Hajavamia akiingia na bunduki ni analindwa.
Eti Nape nae amebeba njugu anamsaka Makonda tangu aanze ya madawa
Sinema inaendelea
Makonda oyeeeee
HahahahaaGwajima nae muongo alisema clouds walipigwa
Kidoti mambooooKuna mpuuzi mmoja anaitwa Nyani Ngabu alisema ule si uvamizi..