GE2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi INEC: Changamoto ya mawakala tumejirekebisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,777
Tume ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema imezifanyia kazi changamoto mbalimbali mawakala katika chaguzi zilizopita na kuwa hazitatokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Jumatano, Oktoba 29, 2025.

Hakikisho hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Kailima Ramadhani leo Ijumaa, Agosti 1, 2025 jijini Dar es Salaam katika Kikao baina ya tume hiyo na wahariri wa vyombo vya habari kuhusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

Kailima alikuwa akijibu swali aliloulizwa na mmoja wa wahariri juu ya tatizo ambalo limekuwa likijitokeza kwenye uchaguzi la mawakala kuzuiwa au kucheleweshwa vituoni na kuruhusiwa uchaguzi ukiwa umekwishaanza.

Katika majibu yake, Kailima amesema: “Angalia mwenendo wa tume wakati wa uchaguzi mdogo, hakukuwa na changamoto za mawakala, tumekwisha kujirekebisha kutokana na changamoto zile.”

Aidha, amesema kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi, amevitaka vyama kuhakikisha vinawasilisha majina ya mawakala kwa wasimamizi wa uchaguzi siku saba kabla ya siku ya kupiga kura ambayo itakuwa Oktoba 22, 2025 na kuwa wataapisha kwenye kata.

“Tunawaomba ninyi wahariri, mvihamasishe vyama vya siasa kuhakikisha vinawasilisha majina ya mawakala kwa mujibu wa sheria yaani Oktoba 22,” amesema Kailima.
 
Sheria ya Uchaguzi, Sura ya 343.
"Mawakala wa vyama hawaruhusiwi kuingia na simu za mkononi, kamera au vifaa vyovyote vya kurekodia katika vituo vya kupigia au kuhesabia kura."
 
Tume ya TAIFA siyo HURU.
Mahera aliyekuwa mkurugenzi wa TUME 2020 Sasa naye ni MG9MBEA!
Aliwatendeaje wasiokuwa WANA CCM?
Mtu mweusi wake UTUMWA TU na siyo USTARABU
 
Tume ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema imezifanyia kazi changamoto mbalimbali mawakala katika chaguzi zilizopita na kuwa hazitatokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Jumatano, Oktoba 29, 2025.

Hakikisho hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Kailima Ramadhani leo Ijumaa, Agosti 1, 2025 jijini Dar es Salaam katika Kikao baina ya tume hiyo na wahariri wa vyombo vya habari kuhusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

Kailima alikuwa akijibu swali aliloulizwa na mmoja wa wahariri juu ya tatizo ambalo limekuwa likijitokeza kwenye uchaguzi la mawakala kuzuiwa au kucheleweshwa vituoni na kuruhusiwa uchaguzi ukiwa umekwishaanza.

Katika majibu yake, Kailima amesema: “Angalia mwenendo wa tume wakati wa uchaguzi mdogo, hakukuwa na changamoto za mawakala, tumekwisha kujirekebisha kutokana na changamoto zile.”

Aidha, amesema kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi, amevitaka vyama kuhakikisha vinawasilisha majina ya mawakala kwa wasimamizi wa uchaguzi siku saba kabla ya siku ya kupiga kura ambayo itakuwa Oktoba 22, 2025 na kuwa wataapisha kwenye kata.

“Tunawaomba ninyi wahariri, mvihamasishe vyama vya siasa kuhakikisha vinawasilisha majina ya mawakala kwa mujibu wa sheria yaani Oktoba 22,” amesema Kailima.
Sheria imerekebishwa au watu wamejirekebisha?
 
Kabla hatujakubali na kukuelewa kuwa mlikuwa na mmekuwa mnazingua,tubu matambi yote kwa uwazi na kwa kujutia kabla ya kutushawishi au kumshawishi Mtanzania kuwa mlikuwa mkifanya makosa,na sasa mmetambua makosa yenu na mnaomba msamaa na kuwa mkotayari kujirekebisha,na kukataa dosari za kutengeneza kwa manufaa ya ccm na watawala wang'ang'ania madaraka.Ukiweza hilo nitakuelewa na Kila Mtanzania atakuelewa.
 
Tume ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema imezifanyia kazi changamoto mbalimbali mawakala katika chaguzi zilizopita na kuwa hazitatokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Jumatano, Oktoba 29, 2025.

Hakikisho hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Kailima Ramadhani leo Ijumaa, Agosti 1, 2025 jijini Dar es Salaam katika Kikao baina ya tume hiyo na wahariri wa vyombo vya habari kuhusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

Kailima alikuwa akijibu swali aliloulizwa na mmoja wa wahariri juu ya tatizo ambalo limekuwa likijitokeza kwenye uchaguzi la mawakala kuzuiwa au kucheleweshwa vituoni na kuruhusiwa uchaguzi ukiwa umekwishaanza.

Katika majibu yake, Kailima amesema: “Angalia mwenendo wa tume wakati wa uchaguzi mdogo, hakukuwa na changamoto za mawakala, tumekwisha kujirekebisha kutokana na changamoto zile.”

Aidha, amesema kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi, amevitaka vyama kuhakikisha vinawasilisha majina ya mawakala kwa wasimamizi wa uchaguzi siku saba kabla ya siku ya kupiga kura ambayo itakuwa Oktoba 22, 2025 na kuwa wataapisha kwenye kata.

“Tunawaomba ninyi wahariri, mvihamasishe vyama vya siasa kuhakikisha vinawasilisha majina ya mawakala kwa mujibu wa sheria yaani Oktoba 22,” amesema Kailima.
Pumbavu zao
 
Poleni sana vibaka wa tume ya mama, watanzania wameshaamka huo utapeli na vyama shikizi vya CCM ndio vitashiriki hilo igizo.
 
Back
Top Bottom