Mkurugenzi wa TBC Ayub Rioba: Rais na CCM wataonekana sana kwenye habari za TBC kwa sababu watu wengi wanataka kujua wanafanya nini

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,439
Reaction score
6,691
Wakuu,

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ameitaka jamii kutambua kuwa shirika hilo ni mali ya umma na si mali ya chama chochote cha siasa.

Hata hivyo, amesisitiza kuwa ni muhimu kufahamu kuwa kwa chama kilichopo madarakani pamoja na serikali yake, TBC itaonekana kutoa kipaumbele zaidi kwa uongozi uliopo kutokana na uhitaji wa umma kufahamu kinachoendelea serikalini.

Dkt. Rioba amesema wananchi wana haki ya kujua kila kinachofanywa na serikali yao, kwani maamuzi na shughuli za serikali zinaathiri moja kwa moja maisha yao ya kila siku.

Amesema kutokana na hilo, taaluma ya habari hulazimisha shirika hilo kuelekeza nguvu zaidi katika kuhabarisha wananchi kuhusu utekelezaji wa shughuli na mipango ya serikali.

Dkt. Rioba ameeleza kuwa mtazamo huo ndiyo unaofanya TBC mara nyingi kuonekana kutoa nafasi kubwa kwa serikali na chama kilichopo madarakani, hali inayosababisha baadhi ya watu kulinasibisha shirika hilo na Chama Cha Mapinduzi (CCM) au kulipa majina yanayoashiria kukiegemea chama hicho au serikali.

Dkt. Rioba ameyasema hayo leo Februari 6, 2026, katika mahojiano maalumu kuhusu mafanikio ya miaka 10 ya mageuzi ya TBC, akijibu swali lililotaka kufahamu sababu zinazofanya shirika hilo kwa muda mrefu lionekane kuhusishwa zaidi na CCM au kuonekana kuwa upande wa serikali.

Uchaguzi umeshaisha sasa ni muda wa kufanya kazi. Watanzania lazima tufanye kazi. Siasa ziliisha baada ya uchaguzi wakuu.
 
HUYU JAMAA KASHAATHIRIKA NA MAPOMBE MAKALI.HAJUI ANATETEA NINI.TBC KIPINDI CHA TIDO MUHANDO ILIKUWA BORA SANA HABARI YAKE ILIKUWA TAMU KUSIKILIZA
 
Rioba tunakujua wewe ni
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Wakuu,

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ameitaka jamii kutambua kuwa shirika hilo ni mali ya umma na si mali ya chama chochote cha siasa.

Hata hivyo, amesisitiza kuwa ni muhimu kufahamu kuwa kwa chama kilichopo madarakani pamoja na serikali yake, TBC itaonekana kutoa kipaumbele zaidi kwa uongozi uliopo kutokana na uhitaji wa umma kufahamu kinachoendelea serikalini.

Dkt. Rioba amesema wananchi wana haki ya kujua kila kinachofanywa na serikali yao, kwani maamuzi na shughuli za serikali zinaathiri moja kwa moja maisha yao ya kila siku.

Amesema kutokana na hilo, taaluma ya habari hulazimisha shirika hilo kuelekeza nguvu zaidi katika kuhabarisha wananchi kuhusu utekelezaji wa shughuli na mipango ya serikali.

Dkt. Rioba ameeleza kuwa mtazamo huo ndiyo unaofanya TBC mara nyingi kuonekana kutoa nafasi kubwa kwa serikali na chama kilichopo madarakani, hali inayosababisha baadhi ya watu kulinasibisha shirika hilo na Chama Cha Mapinduzi (CCM) au kulipa majina yanayoashiria kukiegemea chama hicho au serikali.

Dkt. Rioba ameyasema hayo leo Februari 6, 2026, katika mahojiano maalumu kuhusu mafanikio ya miaka 10 ya mageuzi ya TBC, akijibu swali lililotaka kufahamu sababu zinazofanya shirika hilo kwa muda mrefu lionekane kuhusishwa zaidi na CCM au kuonekana kuwa upande wa serikali.

Huyu naye k%[[™]{¢{~π|√§∆}¢[©{€=zake
 
Screenshot_20260206-140202.jpg
 
Huyu jamaa ana akili sana ila anajifanya HAMNAZO ili kupisha mwanaharamu apite.
 
Mwambieni huyo daktari uchwara kwamba wajinga waliisha.
20251122_060032.jpg
 
Wakuu,

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ameitaka jamii kutambua kuwa shirika hilo ni mali ya umma na si mali ya chama chochote cha siasa.

Hata hivyo, amesisitiza kuwa ni muhimu kufahamu kuwa kwa chama kilichopo madarakani pamoja na serikali yake, TBC itaonekana kutoa kipaumbele zaidi kwa uongozi uliopo kutokana na uhitaji wa umma kufahamu kinachoendelea serikalini.

Dkt. Rioba amesema wananchi wana haki ya kujua kila kinachofanywa na serikali yao, kwani maamuzi na shughuli za serikali zinaathiri moja kwa moja maisha yao ya kila siku.

Amesema kutokana na hilo, taaluma ya habari hulazimisha shirika hilo kuelekeza nguvu zaidi katika kuhabarisha wananchi kuhusu utekelezaji wa shughuli na mipango ya serikali.

Dkt. Rioba ameeleza kuwa mtazamo huo ndiyo unaofanya TBC mara nyingi kuonekana kutoa nafasi kubwa kwa serikali na chama kilichopo madarakani, hali inayosababisha baadhi ya watu kulinasibisha shirika hilo na Chama Cha Mapinduzi (CCM) au kulipa majina yanayoashiria kukiegemea chama hicho au serikali.

Dkt. Rioba ameyasema hayo leo Februari 6, 2026, katika mahojiano maalumu kuhusu mafanikio ya miaka 10 ya mageuzi ya TBC, akijibu swali lililotaka kufahamu sababu zinazofanya shirika hilo kwa muda mrefu lionekane kuhusishwa zaidi na CCM au kuonekana kuwa upande wa serikali.

Tunataka habari zenye substance, sio propaganda!
 
Back
Top Bottom