Aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, amepinga mtazamo wa kwamba kupatikana kwa Katiba Mpya ndiyo suluhu pekee ya changamoto zote zinazoikabili nchi.
Akizungumza Julai 28, 2026, katika kipindi cha One on One cha Wasafi Media, Dkt. Rioba...
Akizungumza Julai 28, 2026 kwenye kipindi cha One on One cha Wasafi Media, Dkt. Ayub Rioba Chacha, amesema mashambulizi ya maneno na shutuma zinazotolewa kutoka pande zote mbili serikalini na upinzani yanaweza kuhatarisha mshikamano wa taifa, akieleza kuwa imefika hatua watu wanamuita kiongozi...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Dkt. Ayub Rioba, amekanusha madai kuwa chombo hicho kilipokea shinikizo kutoka kwa viongozi wa juu wa serikali ili kukaa kimya wakati wa vurugu za uchaguzi za Oktoba 29.
Akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa na Nijuze Julai...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Dkt. Ayub Rioba, amefunguka kuhusu changamoto za uripoti wa habari za vyama vya upinzani na kuweka wazi kuwa chama cha CHADEMA kilikuwa kimeamua kuisusia TBC bila yeye kufahamu mwanzoni.
Akizungumza kwenye mahojiano...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Dkt. Ayub Rioba, ametetea utendaji wa chombo hicho cha habari cha umma dhidi ya ukosoaji kuwa kinairipoti zaidi serikali kuliko wananchi, akieleza kuwa serikali iliyowekwa madarakani na umma inao wajibu wa kuzungumza na...
Dkt. Ayub Rioba Chacha aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Shirika La Utangazaji Tanzania (TBC) anaelezea umuhimu wa kuilinda Amani ya taifa letu kwetu sisi kama Vijana.
Soma Pia: Dkt. Rioba: Vyombo vya Habari vilitishiwa kuchomwa, tungeripoti vipi Oktoba 29?
Akitolea mfano yalitokea Oktoba 29, amesema...
Dkt. Ayub Rioba Chacha aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Shirika La Utangazaji Tanzania (TBC) anasema kwa namna ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo anapenda kusikiliza Mawazo na maoni ya watu wengine inadhihirisha wazi kiwango chake cha Demokrasia
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Dk Ayub Rioba amestaafu baada ya muda wake kwisha.
Ameandika katika ukurasa wake wa Facebook:
Tarehe 19 Machi Rais Dkt. JPM aliniteua kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TBC. Alivyofariki JPM, nilipitia vita ngumu sana ya wale walioamini...
Wakuu,
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ameitaka jamii kutambua kuwa shirika hilo ni mali ya umma na si mali ya chama chochote cha siasa.
Hata hivyo, amesisitiza kuwa ni muhimu kufahamu kuwa kwa chama kilichopo madarakani pamoja na serikali yake...
Anaandika Mkurugenzi wa mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kupitia ukurasa wake wa Facebook
===
Naangalia yanayotokea kwa jirani zetu Kenya; najiuliza: ni nani alitudanganya kwamba hiyo ndiyo maana ya demokrasia?
Ni kweli na ni sahihi kwamba ni lazima wananchi wahoji mamlaka pale...
Wanabodi,
Makala yangu, Gazeti la Nipashe, wiki hii.
Hali ya siasa za ndani za nchi yetu, na jirani zetu wa Kenya na Uganda, kuingilia mambo yetu ya ndani, vibaraka wao walipojipenyeza, idara yetu ya uhamiaji, ikawarudishia uwanja wa ndege, kurejea walikotoka, na waliofanikiwa kupenya...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ametolea ufafanuzi madai ya baadhi ya watu wanaoishutumu TBC kwa kutovialika baadhi ya vyama vya upinzani, ikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kushiriki mijadala inayohusu siasa.
Akijibu shutuma...
Kama Tido Mhando aliyekuwa Mweledi kabisa akitokea BBC alishindwa Kuibadilisha TBC hadi kuondoka / kuondolewa leo hii unataka kabisa Dkt. Rioba ambae nae hatofautiani sana Kiuweledi na Mzee Tido Dustan Mhando aibadili TBC iwe utakavyo Wewe wakati unajua fika kuwa TBC na CCM ni sawa sawa na Simba...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha hadi sasa sijui kaenda kufanya nini TBC.
Kageuzi TBC kama TV ya Chama tawala na anajivunia hilo.
Je, rasi, unaona ni sawa kwa usitawi wa kitaifa?
TBC ni Shirika la Utangazaji Tanzania (zamani: Televisheni ya Taifa...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema JamiiForums ni chombo cha habari na sio Jukwaa la mtandao kama linavyojulikana.
Dkt. Rioba amesema hayo mkoani Mwanza wakati wa uwasilishaji mada za mitandao ya kijamii katika mkutano wa Mafunzo wa 108 wa...
Wanabodi,
Kwa watu wasiojua mambo ya utangazaji na haswa live programs mnaweza msielewe msingi wa pongezi zangu, kwa vile mimi ni Mtangazaji na nilifanyia kazi, TBC, I know what it takes kumualika mpinzani Vocal kama Zitto Kabwe kwenye a live program ya TV, hivyo hizi hongera zangu kwa TBC na...
Ameandika katika ukarasa wake wa fb usku huu. kuwa jumatatu ataweka wazi juu ya madai ya kufuatiliwa na TAKUKURU kwa madai ya rushwa.
Ukumbi na eneo mtajuljshwa.
Pia soma >Ayub Rioba adai kufuatiliwa na TAKUKURU
Dkt. Ayub Rioba jana alipata fursa ya kuongea kwenye kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na TBC 1 na kuelezea mambo mengi yanayolihusu shirika ikiwemo kuanzisha chaneli ya kiingereza kuwakabili watu wanaoisema vibaya Tanzania huko duniani. Pia lilikuwepo swali la tetesi za yeye kuachia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.