Mkurugenzi wa Bodi ya Kahawa Adolph Kumburu azidi kuonyesha vituko

naomba unipm namba yako maybe hilo jina nimelifananisha hv!
Umelifananisha na nani tena mkuu? humu si tunatumia majina hewa au unataka kuniimplicate na issue ya bodi nini? mimi mbona sihusiki aisee, au nimekosea kuchangia mada? kahawa yenyewe sijawahi hata kuiona
 
Hii bodi inamajungu si cha kitoto .
Nadhani tatizo la bodi ya kahawa ni baadhi wafanyakazi wanaofanya kwa mazoea . Mfano mfanyakazi hajawahi kufanya kazi sehemu nyingine ,ameanza kazi hapo zaidi ya miaka 20 iliyopita ama ana elimu ndogo na hataki kujiendeleza ukilinganisha na majukumu anayopewa kwa sasa . Mfanyakazi wa aina hii lazima ategemee kuendelea kuwepo ofisini kwa kupika majungu hata kama anaelezea jambo la maana uwezo wake wa kutoa maelezo unakuwa mwembamba sana kutokana na kukosa exposure .

Mtazamo wangu ni kwamba mleta mada mambo mengi umeandika kwa kureflect personal interest baada ya wewe kuondolewa ama kunyimwa huo mrija uliotengenezwa hapo bodi ya kahawa na hao kina A.Kumburu &Co. Inaelekea wakikuwekea/kukurudishia tawi la huo mrija story zako zitabadilika na utatushawishi wana jamvi tumtukuze A.Kumburu &Co. kwa nyimbo na mapambio .
 
Hata kama mleta mada atakuwa ameguswa kimaslahi na vitendo vya Kumburu&Co, bado mambo aliyoyaandika yanaipa fursa serikali kujua maovu yanayotendeka ndani ya taasisi yake na kuyafuatilia.
 
Tunakushukuru sana Bwana Goodluck Sipira kwa kumtetea Temu.Sisi wafanyakasi tuliokuwepo toka ensi sa Samani tunajua Kumburu ameifanyia mambo masuri sana Bodi ya kahawa,ila Kati vitu tutavyomlaani ni kukuajiri wewe Arope wa pili,wewe ni mjinga unayekunywa pombe muda wa Kasi.Temu Yuko Radhi anyonge Mtu ili afaidike yeye.
 
Tunakushukuru sana Goodluck Sipira kwa kumtetea Temu,tunamfahamu sana Elias kuliko wewe ulyekuja karibuni.Temu Yuko Radhi aue Mtu ili apate a achotaka.Kati vitu tutakavyomlaani Kumburu ni kukuajiri wewe Arope wa pili
 
kweli wewe ni mchaga nadhani wewe utakua ni chief liquare mzee wa MAMBUO. kwa kuwa na wewe unafaidika hapo ndo mana unawatetea hao watu
 
Tunakushukuru sana Goodluck Sipira kwa kumtetea Temu,tunamfahamu sana Elias kuliko wewe ulyekuja karibuni.Temu Yuko Radhi aue Mtu ili apate a achotaka.Kati vitu tutakavyomlaani Kumburu ni kukuajiri wewe Arope wa pili
Na yale ya ripe cherry au kahawa matunda mmemalizana?. Hebu fanyeni kazi vijana acheni majungu yenye maslahi binafsi wakati wakulima wanaumia kuzalisha ninyi mnatumia kodi zao kupakana matope muda wa kazi.

Kama Kumburu ana tatizo msubiri muda wake. Kwani aliyemtangulia Bw. Leslie Omary swahiba wa BWM yupo wapi? Yeye nae si alitumia madaraka vibaya akiwa Mkurugenzi wa Bodi kwa kuweka rehani jengo la Kahawa ili ajipatie mkopo na kampuni yake binafsi ya Africa Consult Ltd.? Mahakama imemfanya nn? Hamjui kuna vifungo vya zaidi ya miaka Saba jela?
 
Tuna ushahidi wa kutosha kuhusu hili.Elias Temu amepata hasira baada ya kuletewa Mtu mwenye degree Kwenye kitengo chake.Elimu ya Temu ni ya kidato cha nne,failure.Baada Temu kuletewa huyo mtumishi tena wa muda aliangua Kilimo na kuzunguka Kwenye makorido ya Bodi ya kahawa akilalalamika.Hasira nyingine ya Ndugu Temu ni kutoongosewa mshahara Kwenye muundo mpya wa utumishi.Temu kwa ujinga wake anadai Mtu mwenye elimu ya kidato cha nne Kama yeye na aliyefanya Kasi miaka azidi ya ishirini Bodi ya kahawa Kama yeye,ni sawa sawa na Mtu mwenye degree!TCU mpo?sasa sisi tunamuambia,Kama ni hivyo akaombe kusoma masters Kwenye Chuo chote nchini aone Kama atakubaliwa.

Hata kama hayo yote yanafanyika lakini si kitu kizuri kuja hapa JF unafungua account kwa jina la huyo unayemtuhumu, kwa nini usifungue account kwa jina jingine? hii inatufanya hata sisi wachangiaji tushindwe kuchangia, kutoa maoni yetu, ushauri na hata kupeleka mbele kwa wanaohusika. Hili ni jukwaa la Great Thinkers, na great thinkers hatuweki ghadhabu mbele maana haitasaidia kutatua tatizo. Mi nadhani hii mada iletwe kwa hadhi yake inayostahili na watu watachangia inavyostahili.
 
Watanzania wenzangu ifike pahala tufanye kazi tuachane na majungu, Mr. kumburu amejitahidi sana kuibadilisha hii bodi ya kahawa kuwa ya kitaalamu zaidi kuliko ilivyokuwa zamani.Kuna tatizo ambalo ni kubwa katika nchi yetu utakuta mtu ni "Form four failure" au" darasa la saba" eti kwa kuwa anauzoefu kazini anataka apewe ukuu wa idara wakati kuna watu wana "degree"na wengine hadi" MASTERS" na wanauzoefu wa kutosha wanakuwa wasaidizi.Nina mpongeza sana Mr.kumburu kwa kazi nzuri ambayo anaifanya tangu aingie bodi ya kahawa.Kweli ni mfano wa kuigwa.
 
Oh sasa kumekucha ndani ya bodi hii,sina zaidi la kuwaambia wenzagu hapa jamvini ila la kusema ni POLENI SANA
Kwa kuanzia tu msifikiri mna Mwenyekiti la hasha mwenyekiti ni Kumburu mwenyewe.Mwenyekiti Mr Juma Ngasongwa ni Ngeze mwingine du poleni sana kazi yake hapo ni kusaini kile Ibilisi Kumburu atakachokifanya.

Kwa kuanzia tu ni kwamba kwa njaa aliyokuja nayo Ngasongwa toka kijijini kwao kwa Kumburu imekuwa faida kubwa sana kesha mjaza mahela hivyo hawezi kufanya chochote yeye ni Mr yes Bw Kumburu

Hivyo basi mkakati alioupanga na Kumburu na Bitegeko ni wa kumaliza familia za watu wasiokuwa na makosa umerudi pale pale.Msitegemee msaada wowote ule toka kwa Juma

Kwa wale wa Tawi la Dar nawapeni pole sana mnapewa kipigo kwa ajili ya Asenga kamtafutia kosa kakosa hivyo anaifunga ofisi ya Dar ili Asenga apotee pole Bw Asenga,ofisi hiyo itafunguliwa tena mkishasahau ila Asenga hatakuwepo pale tena
Bw Sipira Goodluck pole sana usipokuwa makini jela utaiona bila shaka minutes za vikao zimebadilishwa na kupelekwa polisi kuhusiana na makaratasi nakushauri nenda kwa raisi ndugu yangu

Rutachweka muda wako wa kustaafu ushakaribia omba kustaafu pre mature la sivyo hali sio nzuri jamaa ana kinyongo kikubwa na wewe hivyo hatakuacha
Engerasia Mongi na wewe nakupa pole sana ukiweza achia ngazi mapema kisu kipo mkononi mwa Kumburu na Bitegeko
Moses Simingwa na wewe nakupa pole sana jitahidi kutafuta kazi mapema kabla hujachinjwa mishale iko kwako utaniambia siku moja
Melkiadi Masawe nawe nakupa pole sana kama elimu iko vizuri lianzishe mwenyewe ingawa tunajua atakataa kukupa kibali cha kuondoka mpaka akudhalilishe kama alivyomnyima Seni the Accountant
Ila Seni nawe lianzishe maana Kumburu atakudhalilisha
Elias Temu nawe nakupa pole sana elimu yenyewe ndio hivyo tena kama unajua biashara kaanze ondoka mapema sana kabla haijawa mbaya
Na Bw Kiangi cheza vizuri ndugu yangu muda wako wa kustaafu ushafika au ondoka mapema kabla haijawa mbaya
Na pia bila kumsahau Primus nawe anza kutafuta pa kukimbilia mapema Bite keshamalisha kazi yake maana kisu nawe kiko mkononi
Haya yote yamefika kutokana na woga na kutokuwa kwetu na ushirikiano ndio tumefikishiwa hapa
Ngasongwa amepitisha barua ya Kumburu kuendelea na kazi kwa kumpa sifa kemkem mtu ambaye hajawahi kufanya nae jiulizeni ni kwa nini pili tujiulize kwa nini Juma alitemwa kwenye uwaziri na kutemwa kwenye Ubunge hapo ukipata jibu ndio utajua Juma Ngasongwa ni nani kwangu mimi namjua ni kapi tu na ndio Kumburu alikuwa anataka mtu wa namna hii na sio Mama Sinare mtamkumbuka sana
Kwa ushauri mdogo tu tuungane kwa pamoja na twendeni kwa haki za binadamu

Kumburu atamaliza tena awamu ya pili akitafuta watu walio chini yake kuwamaliza huku akimwacha mkulima anateseka.Anatumia fedha za wakulima wanyonge hasa zile za exchange rate kuhonga watu na taasisi mbalimbali ili aweze kuumiza watu nashauri tujipange na tuache woga
Tukibaki tukisema tunamwachia Mungu ni ujinga Mungu hasaidii mtu ambaye hafanyi chochote fanya ili na akusaidie kwenye kile akifanyacho

Oremus acha kuandika ujinga na kama uko humu ndani basi na wewe ni kibaraka UNJIKOMBA SIO Kumuru hanaga rafiki Ni kwamba siku za usoni tutaweka elimu zenu za kuunga unga hapa wale mliofell ndani ya nchi na nje ya nchi wale wenye vyeti vya bandia vyote tutaviweka hapa

saa ya ukombozi ni sasa
 
Tunakushukuru sana Bwana Goodluck Sipira kwa kumtetea Temu.Sisi wafanyakasi tuliokuwepo toka ensi sa Samani tunajua Kumburu ameifanyia mambo masuri sana Bodi ya kahawa,ila Kati vitu tutavyomlaani ni kukuajiri wewe Arope wa pili,wewe ni mjinga unayekunywa pombe muda wa Kasi.Temu Yuko Radhi anyonge Mtu ili afaidike yeye.

na saa saba usiku ulikuwa hujalala na ulikuwa wapi kama sio bar tuna shaka na utendaji wako wa kazi
 
Oh sasa kumekucha ndani ya bodi hii,sina zaidi la kuwaambia wenzagu hapa jamvini ila la kusema ni POLENI SANA
Kwa kuanzia tu msifikiri mna Mwenyekiti la hasha mwenyekiti ni Kumburu mwenyewe.Mwenyekiti Mr Juma Ngasongwa ni Ngeze mwingine du poleni sana kazi yake hapo ni kusaini kile Ibilisi Kumburu atakachokifanya.

Kwa kuanzia tu ni kwamba kwa njaa aliyokuja nayo Ngasongwa toka kijijini kwao kwa Kumburu imekuwa faida kubwa sana kesha mjaza mahela hivyo hawezi kufanya chochote yeye ni Mr yes Bw Kumburu

Hivyo basi mkakati alioupanga na Kumburu na Bitegeko ni wa kumaliza familia za watu wasiokuwa na makosa umerudi pale pale.Msitegemee msaada wowote ule toka kwa Juma

Kwa wale wa Tawi la Dar nawapeni pole sana mnapewa kipigo kwa ajili ya Asenga kamtafutia kosa kakosa hivyo anaifunga ofisi ya Dar ili Asenga apotee pole Bw Asenga,ofisi hiyo itafunguliwa tena mkishasahau ila Asenga hatakuwepo pale tena
Bw Sipira Goodluck pole sana usipokuwa makini jela utaiona bila shaka minutes za vikao zimebadilishwa na kupelekwa polisi kuhusiana na makaratasi nakushauri nenda kwa raisi ndugu yangu

Rutachweka muda wako wa kustaafu ushakaribia omba kustaafu pre mature la sivyo hali sio nzuri jamaa ana kinyongo kikubwa na wewe hivyo hatakuacha
Engerasia Mongi na wewe nakupa pole sana ukiweza achia ngazi mapema kisu kipo mkononi mwa Kumburu na Bitegeko
Moses Simingwa na wewe nakupa pole sana jitahidi kutafuta kazi mapema kabla hujachinjwa mishale iko kwako utaniambia siku moja
Melkiadi Masawe nawe nakupa pole sana kama elimu iko vizuri lianzishe mwenyewe ingawa tunajua atakataa kukupa kibali cha kuondoka mpaka akudhalilishe kama alivyomnyima Seni the Accountant
Ila Seni nawe lianzishe maana Kumburu atakudhalilisha
Elias Temu nawe nakupa pole sana elimu yenyewe ndio hivyo tena kama unajua biashara kaanze ondoka mapema sana kabla haijawa mbaya
Na Bw Kiangi cheza vizuri ndugu yangu muda wako wa kustaafu ushafika au ondoka mapema kabla haijawa mbaya
Na pia bila kumsahau Primus nawe anza kutafuta pa kukimbilia mapema Bite keshamalisha kazi yake maana kisu nawe kiko mkononi
Haya yote yamefika kutokana na woga na kutokuwa kwetu na ushirikiano ndio tumefikishiwa hapa
Ngasongwa amepitisha barua ya Kumburu kuendelea na kazi kwa kumpa sifa kemkem mtu ambaye hajawahi kufanya nae jiulizeni ni kwa nini pili tujiulize kwa nini Juma alitemwa kwenye uwaziri na kutemwa kwenye Ubunge hapo ukipata jibu ndio utajua Juma Ngasongwa ni nani kwangu mimi namjua ni kapi tu na ndio Kumburu alikuwa anataka mtu wa namna hii na sio Mama Sinare mtamkumbuka sana
Kwa ushauri mdogo tu tuungane kwa pamoja na twendeni kwa haki za binadamu

Kumburu atamaliza tena awamu ya pili akitafuta watu walio chini yake kuwamaliza huku akimwacha mkulima anateseka.Anatumia fedha za wakulima wanyonge hasa zile za exchange rate kuhonga watu na taasisi mbalimbali ili aweze kuumiza watu nashauri tujipange na tuache woga
Tukibaki tukisema tunamwachia Mungu ni ujinga Mungu hasaidii mtu ambaye hafanyi chochote fanya ili na akusaidie kwenye kile akifanyacho

Oremus acha kuandika ujinga na kama uko humu ndani basi na wewe ni kibaraka UNJIKOMBA SIO Kumuru hanaga rafiki Ni kwamba siku za usoni tutaweka elimu zenu za kuunga unga hapa wale mliofell ndani ya nchi na nje ya nchi wale wenye vyeti vya bandia vyote tutaviweka hapa

saa ya ukombozi ni sasa

Maneno mazito yanayotakiwa kufanyiwa kazi. Mh. Ngasongwa hata kama atakuwa amepeleka mapendekezo ya kumwongeza muda Kumburu hilo litakuwa ni shinikizo toka kwa waziri kwani Kumburu amemjuaje kwa muda mfupi aliokaa naye hadi amwone anafaa na kupendekeza aongezwe muda. Mapendekezo ya kufuata ni ya Bodi ya Wakurugenzi iliyopita ya mama Sinare ambayo angalau ilifanya kazi na Kumburu kwa muda mrefu zaidi. Hivyo Waziri kama atamwongezea muda Kumburu asisingizie kuwa ni ushauri toka Bodi ya Wakurugenzi.

Bodi hii ya wakurugenzi ambayo Waziri alisema aliiteua kutokana na ushauri wa vyombo vya dola iko makini. Kinachoweza kuiharibu endapo ataiingilia kwa kutoa maagizo yenye maslahi binafsi kwa Mwenyekiti na kumwita mwakilishi wake Nzallawahe Dodoma ili asiwepo wakati wakutoa maamuzi muhimu kama ya kumwongeza muda Kumburu n.k. Tunamwomba Waziri ambaye alishiriki katika kutoa terms of referance kwa Bodi ya mama Hawa Sinare(Wakati huo akiwa Waziri Mdogo) ikionyesha mdhambi ya Kumburu leo asigeuke kumwona amekuwa mtendaji bora. Ushahidi mwingi wa makosa ya Kumburu anao ambao hata Ikulu wanao hivyo asije akadanganya Ikulu kuwa Kumburu ni msafi. Akifanya hivyo akamwongeza muda atakuwa anajidharirisha na watu watabaki wanajiuliza kitu gani kimemshawishi.

Kama Waziri anataka kulinda maslahi yake mbona hata Mkurugenzi mpya naye atakuwa amemteua yeye. Why Kumburu? Je katika nji hii ya Tanzania hakuna mtu mwingine isipokuwa Kumburu. Mbona hata kwenye wajumbe wa Bodi aliyoiteua kuna wanaofaa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi, akina Nzallawahe, Mbogera, Maynard Swai, na Tegerelwa. Mbogera huyo ana uzoefu na aliwahi kuomba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi, kwa nini asipewe yeye hata kwa muda wakati anatafutwa Mkurugenzi wa ukweli kuja kuongoza Bodi badala ya Kumburu anayehishi kwa kuhujumu Bodi kuendesha Bodi pasipo kufuata utawala wa sheria na mapambano ya kutaka kuwafukuza wataalam. Hao anaotaka kuwafukuza wamelitumikia Taifa hili muda mrefu bila matatizo yoyote ila yeye pekee ndiye anaona wanamakosa.

Kumburu ambaye muda wake wamkataba umeisha anapambana aendelee kuwepo kiasi hta umri wake anadanganya hati ana miaka 56. Kama kungekuwa na mtu anataka kuchunguza inawezekanaje alimaliza form IV mwaka 1973 akiwa anamaanisha alianza darasa la kwanza akiwa na miaka 5. Hii siyo kweli ukifuatilia watoto wote kwa wakati anaanza shule ilikuwa sharti ufikishe miaka 7. Kwa uchahe atakuwa alizaliwa mwaka 1955. Kama atakuwa amezaliwa mwaka huo hastahili kuongezwa muda kwa vile kulingana na sheria ya kahawa mikataba ni kati ya miaka 3 hadi 5 hivyo ukimpa miaka 3 bado itakuwa zaidi ya miaka yake ya kustahafu.

Ukiachilia mbali sababu za umri kumzuia Kumburu asiongezwe muda bado kuna sababu kubwa ya kisheria ambayo Scheme of Service mpya ambayo imewabana wafanyakazi wengi kuongezwa mshahara kwa kuwa hawawezi kuongezwa mishahara kupata vyeo ambavyo elimu haiwaruhusu. Kulingana na scheme of service hiyo hiyo Director General wa Bodi ya Kahawa sharti awe na Masters Degree. Swali linakuja kwa Kumburu asiyekuwa na hiyo masters Waziri ataweka kando hiyo scheme of service amwongeze muda. Je hiyo haitakuwa double standards

Back
Top Bottom