technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,849
Hakuna mtu yeyote aliyesema ni mbovu leta taarifa hapa ya kuonyesha kuna mtu alisema ni mbovu...Abiria alisema ngege ilikuwa na ubovu gani? Gari lako likikwama kwenye tope maana yake ni bovu?
Ukishindwa wewe ni mzushi...
Anakanusha hewa kuna mtu alisema ni mbovu lini na wapi?