Mkurugenzi wa ATCL amekanusha taarifa ya kua Bombadier Q400 mbovu

Abiria alisema ngege ilikuwa na ubovu gani? Gari lako likikwama kwenye tope maana yake ni bovu?
Hakuna mtu yeyote aliyesema ni mbovu leta taarifa hapa ya kuonyesha kuna mtu alisema ni mbovu...

Ukishindwa wewe ni mzushi...

Anakanusha hewa kuna mtu alisema ni mbovu lini na wapi?
 
Chemical Ally Wa Iraq alipamba kwa mbwembwe sana kuwa Bagdad itageuka Tanuri la moto!aawap siku ilipofika walikamatwa kama Kuku Wa kisasa!sishangai inzi Wa kijani kushambulia BAVICHA mambo mengine ni ukichaa Wa akili!!!siku zinahesabika nyie Lumumba!!shame !go beyond &learn 4Gambia now!!!
 
Yaani nimemsikiliza huyu Mkurugenzi maelezo yake ni kama copy and paste na yale ya huyo jamaa barafu wa JF...Mpaka nikajisemea huyu barafu ndio yeye??

Kweli JF ni kisima cha habari!!Huyu barafu atakuwa mtu wa ndani sana wa ATCL
 
Lete ushshidi wako wa kuonesha kuwa ni mbovu....ndo tuanze kumuita hayo majina unayotaka wewe...la cvyo wewe naye ni wale wale wanaoshabikia bila ushahidi
 
So ni utaratibu wa uwanja wa AC abiria kushukia katikati ya runway? Akili nyingine bwana!!!!!
 
Kutetea chakula ni Kazi sana...

Kuna siku kiongozi wa hii serikali ya awamu 5 atakuja kukanusha mke wake kuwa hana mimba wakati tumbo tunaliona.........

Swali ni je yeye alikuwa Arusha? Aliyetoa taarifa si ni abilia aliyekuwa kwenye tukio tena na picha juu...

Au na yeye anasafiri kila route na hizo ndege siku hizi?
Acha ushambenga wewe
 
Lete ushshidi wako wa kuonesha kuwa ni mbovu....ndo tuanze kumuita hayo majina unayotaka wewe...la cvyo wewe naye ni wale wale wanaoshabikia bila ushahidi
Mkuu unajielewa kweli wewe au umeni quote kimakosa?Wapi mimi nimesema juu ya ubovu?
 
Bavicha wamekuwa vichaa. Kuna wakati walisema hiyo Ndege imeanguka Mwalimu Nyerere International Airport ilhali si kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom