Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,961
- 2,138
Naona mwaka huu kuna mambo, kwanza Baraza la Mawaziri likafanyiwa marekebisho, na mawaziri kadhaa wakabwagwa, halafu akafuata Ekelege wa TBC, halafu Chizi wa ATCL katimuliwa, halafu Mhando wa Tanesco kaondolewa, na sasa Mafuru. Who is next before Christmas??? One, Two, Three, Four, ...... down, more to go!!!