Lawrence Mafuru ni mmoja ya vijana wenye uwezo mkubwa wa kiuongozi lakini kubwa zaidi ni mwaminifu sana,nafahamu na natambua kwamba kutakuwa na mchezo mchafu unafanywa dhidi yake lakini naaamini Mungu atakuwa upande wake na atarejea akiwa stronger zaidi na kusaidia kufanya kile ambacho waswahili wengi hawawezi ku-run benki kubwa ya saizi ya NBC.
Kitendo cha ABSA kukubali inadhihirisha wewe ni mtu wa kiwango gani na ninaamini you will get through this.
Nakuombea ushinde mtihani huu.
power is corrupt, absolutely corrupt! kwa hiyo usishangae Mafuru kukutwa na makshfa, hata angekuwa kichwa kuliko vijana wote, system inakutengeneza, na ukishakuwa na madaraka unakuwa kitu kingine