Mkurugenzi mtendaji wa NBC Lawrence Mafuru asimamishwa kazi

Borat69,

..thanx..nimekuelewa.

..ulichosema kuhusu wazazi kupuuza masuala ya sanaa ni kweli kabisa.

..lakini nadhani as our society opens up we will learn to appreciate arts, na kuvikuza vipaji vya arts.

In short JokaKuu, sisi watanzania hatujaweka mikakati ya kuipenda na kuijenga arts. Na unajua brain inavyofanya kazi, right hand sphere ya brain ndio inafanya kazi ya mambo ya arts..and that is where leadership skills lie.
 
Ni ujinga mkubwa kufikiri kufukuza na kusimamisha watumishi hasa hawa wadogo kutasaidia.serikali inapswa kujitazama mwanzo mwisho na kuchkua hatua stahiki kwa wakati na si kusubiri mambo yaende hovyo.
ulikuwa unamaanisha nini mkuu? wamiliki wa NBC ni Barclays sasa serikali inaingiaje? shareholding yake ni ndogo
 
Pengine kuna ukweli kwenye hili maana kwa bank kama NBC, haiwezi kufanya kosa la kumsimamisha mtu bila kuwa na grounds.

Ndahani,

Nimefuatilia kwa karibu kidogo hili swala na nimezungumza na watu ambao wapo karibu nimekuja kubaini kwamba kusimamishwa kwa mafuru kumesababishwa na yeye kutoelewana na mabosi wake, ambao ni makaburu. Kwahivyo inawezekana kabisa kukawa hamna grounds zozote za msingi za kumtoa hapo huyo mheshimiwa zaidi ya kutunishiana misuli. Anyways huko mbele tutakuja kujua.
 
...wanasema what doesn't kill u makes u stronger...atapita tu Inshaallah!
Lawrence Mafuru ni mmoja ya vijana wenye uwezo mkubwa wa kiuongozi lakini kubwa zaidi ni mwaminifu sana,nafahamu na natambua kwamba kutakuwa na mchezo mchafu unafanywa dhidi yake lakini naaamini Mungu atakuwa upande wake na atarejea akiwa stronger zaidi na kusaidia kufanya kile ambacho waswahili wengi hawawezi ku-run benki kubwa ya saizi ya NBC.

Kitendo cha ABSA kukubali inadhihirisha wewe ni mtu wa kiwango gani na ninaamini you will get through this.
Nakuombea ushinde mtihani huu.
 
Mkuu CPA,
Kwa kweli Dr Assad ni hazina ya Taifa. Alinifundisha First year na kikubwa zaidi ndiye alikuwa Supervisor wangu wa Dessertation ya MBA. Nimejifunza mengi kutoka kwake. Is realy Intelligent in Accounting and Auditing Issues.

TUMBIRI (PhD, University of HULL - HULL City, UK),
tumbiri@jamiiforums.com


Tumbiri,

Nami Dr Assad alinifundisha First year na alikuwa Supervisor wangu wa Dessertation ya MBA. He is always sobber minded, composed na si mtu wa kukulupuka. Kuona mpaka kakubali Mafuri asimamishwe, ujue kuna jambo...
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi bana vi-inzi sijuli vimeugua ugonjwa wa usingizi?!!!

Hatupati ripoti maalum siku hizi, na zimiss sana...
 
Hizi ni habari nzuri saana kwa wafanyakazi wa kawaida wa NBC na chama cha wafanyakazi wa Mabenki FIBUCA, huyu bwana kiutendaji hakuwa mtanzania hata kidogo hasa kwa upande wa maslahi ya wafanyakazi, amefukuza mpaka kiongozi wa wafanyakazi, na NBC ni kati ya benki zinazolipa mishahara midogo zaidi tanzania kwa wafanyakazi wake, Kimsingi iko haja ya kufanya sherehe na Cheo ni Dhamana 2 jamani

Una maana wafanyakazi wa NBC wako kwenye mgomo baridi kwa sasa? Manaake huduma zao ni za kinyonga kwenye matawi takriban yote ya Dar.
 
Hivi la NBC bunge kuna kamati yeyote ya bunge imemwita mtu kumuhoji manake isijekuwa makali kwa tanesco tu na tukichanga mtaji na wadhungu sie hatuoni pa kuanzia.
 
Inapokuja shinikizo la wafanyakazi maana yake jamaa kabana vilivyo...si tunakumbuka sakata la Mwakyembe na wafanyakazi wa Airport? ukiwa makini utachukiwa tu........
Lawrence Mafuru ni mmoja ya vijana wenye uwezo mkubwa wa kiuongozi lakini kubwa zaidi ni mwaminifu sana,nafahamu na natambua kwamba kutakuwa na mchezo mchafu unafanywa dhidi yake lakini naaamini Mungu atakuwa upande wake na atarejea akiwa stronger zaidi na kusaidia kufanya kile ambacho waswahili wengi hawawezi ku-run benki kubwa ya saizi ya NBC.

Kitendo cha ABSA kukubali inadhihirisha wewe ni mtu wa kiwango gani na ninaamini you will get through this.
Nakuombea ushinde mtihani huu.
 
Mafuru amefanya ubadhirifu sana hapa NBC yeye pamoja na Maharage Chande..mwenzake Maharage Chande nae alisimamishwa na akaandika barua aache kazi BOARD imetupilia mbali maombi hayo na badala yake nae anasubiria uchunguzi huo..Mafuru ameleta vihiyo kibao ambao ni washkj zake na ametoa mikopo mingi tu kwa watu ambao hawakuwa na vigezo..mke wake ameanzisha SACCOSS wakawa wavuta mapesa pamoja na tuhuma nyingine nyingi tu ..kwahiyo hayo ndiyo yaliyopelekea kusimamishwa ili achunguzwe..Maharage nae inasemekana amechukua watu kibao VODA ambao walikuwa washkj wake akawa awaajiri pamoja na ubadhirifu mwingine yeye akiwa kama CHIEF OPERATION OFFICER ...na habari zinasema hapa mwshoni wakawa hawaivi kabisa..mafuru na maharage chande...kisa kuingiliana kwenye ulaji
 
Kuna mzungu mmoja ambae alikuwa director of finance NBC..a south African Boer ..ndiye alikuwa akiingilia mipango yao mingi sana ya ubadhirifu..wao wakina mafuru na maharage chande wakamwekea fitina akafukuzwa..sasa inasemekana mzungu huyo aliporudi ABSA akatoa ripoti ya jinsi mafuru na maharage chande wanavyoifilisi bank..na katika mfululizo wa miaka miwili bank imepata hasara sana uki-compare na wapinzani wao kibiashara..CRDB na NMB..sasa ABSA wamefuatilia na kuona kuna ukweli mwingi tu kuhusiana na yaliyosemwa na mzungu huyo...ndiyo wakaamua mafuru apishe uchunguzi kamili.
 
Kuna hizi habari zimeenea sana hapa mjini Dar Kuwa Managing Director wa NBC Bw. Mafuru kasimamishwa kazi...


I only wish our political leadership could borrow a leaf from Law Mafuru's professional attitude; Tanzania could be better governed and more prosperous!
 
Pole Mafuru. Kuendesha NBC ya South Africans chini ya Mwenyekiti Dr Assad ninayemfahamu mimi ni kwamba ulikuwa na kibarua kizito we dogo. Dr Assad hapo UDSM ni ''hatari'' . so kuwa naye karibu uwe umejiandaa. Wait for investigation outcome... Wish you well at the moment.
 
Hii inasikitisha sana. Ma CEO waswahili walioaminiwa na benki za nje wamend up kudiasapoint waliowaamini. Remember Bade - Barclays, Bomani - KCB and now Mafuru. Hii Inaset precedence mbaya sana.
 
ABSA anamiliki 55%,we pia hujui

I should have mixed with other company! Whether it would pleases you or not, I knew what was on the context! The main issues was effects of president's decision on the bank, while the government is one of the minority in owning the bank!!!

Hakuna mashindano ya precision!!! Ukae na bwana!!
 
Kuna watu wengi sana wako happy kwa Mafuru kusimamishwa!!! Wengine tunasubiri uchunguzi ndo tu-judge!!! Bongo bana... its all about uzandiki tu...lol!!!
 
Back
Top Bottom