We mtoto wa RJ Mwasha hivi Leonard alikufa?huyo jamaa wa immigration leonard igogo ,kwanza anatumia cheti feki jina lake halisi ni paul igogo hilo leonard igogo jina ni la marehemu tuliokuwa mzumbe miaka ya 2000 nafikiri mnamkumbuka!uhamiaji walivyogundua wakamtoa hapa sirari kumpeleka mtwara!
juzi kati kapiga pesa za dangote nasikia anajenga shule.
wewe jamaa umenifurahisha sana hiyo ya swahili teacher kumtoa haiti.Kwa hili naunga mkono. Watanzania hawazungumzi wala kuandika Kiswahili. Labda wamekisahau. Hebu soma theads and contributions hapa ndiyo ujue. Hata mimi nikiwa na shule yangu mwalimu wa Kiswahili nitamtoa Haiti!
nikweli kabisa uyasemayo je mtoto akinyea mkono utaukataTuseme ukweli,Watanzania hatuko makini na kazi. Ukitaka kufilisika,ajira wabongo kwenye biashara yako kubwa. Tunaomba kazi kwa machozi,lakini tukishapata ni nyodo,kupiga cha juu,uchelewaji,hatna malengo,ugonjwa kila wakti. Tunapenda kulalamika sana.
Angalia taasisi za serikali kama huduma za afya mf hospitali,zahanati,vituo vya afya vya serikali.Ni majanga.Watumishi,ambao 99.9% ni Watanzania,hawatuhudumii kwa upendo,weledi.Lugha za makaribisho ni balaa.Bado hao watumishi wataiba vifaa na madawa.Linganisha na hosp binafsi mf TMJ,Regency,Hindu Mandal nk.
Njoo kwenye shule za serikali,ni majanga.
Watanzania hatuko tayari kwa ushindani wa ajira.Bado tutapigwa sana. Tukienda kwenye semina za mafunzo,tunang'ang'ania posho badala ya cheti cha mafunzo ili kuongeza CV. Hatuko tayari kujilipia semina na mafunzo mbali mbali.
mavunde na simbachawene, tumbueni hili jipu mbona limeiva sana tu. hakuna haja ya kusubiri. vijana wetu wanahitaji hizo nafasi.
Weka conclusion basi; kwamba kwa maelezo yako, watanzania watumike tu kupiga kura na kuiweka serikali madarakani, ila ajira wasipewe aslani, bali wapewe raia wa nje. Malizia mkuu, ha ari yako bado ni inconclusiveTuseme ukweli,Watanzania hatuko makini na kazi. Ukitaka kufilisika,ajira wabongo kwenye biashara yako kubwa. Tunaomba kazi kwa machozi,lakini tukishapata ni nyodo,kupiga cha juu,uchelewaji,hatna malengo,ugonjwa kila wakti. Tunapenda kulalamika sana.
Angalia taasisi za serikali kama huduma za afya mf hospitali,zahanati,vituo vya afya vya serikali.Ni majanga.Watumishi,ambao 99.9% ni Watanzania,hawatuhudumii kwa upendo,weledi.Lugha za makaribisho ni balaa.Bado hao watumishi wataiba vifaa na madawa.Linganisha na hosp binafsi mf TMJ,Regency,Hindu Mandal nk.
Njoo kwenye shule za serikali,ni majanga.
Watanzania hatuko tayari kwa ushindani wa ajira.Bado tutapigwa sana. Tukienda kwenye semina za mafunzo,tunang'ang'ania posho badala ya cheti cha mafunzo ili kuongeza CV. Hatuko tayari kujilipia semina na mafunzo mbali mbali.
Kweli mkuu waende huko kama FEZA hata mwalimu wa somo la kiswahili mturuki
Unaongea dangote hata kwa mzee machache pia kwenye media na maji kuna wahindi na wakenya wengi sana, imashangaza media inaajiri mkenya au mganda kisa anajua kiingereza wapo vijana wanaweza. Hizi PR and advertising companies pia zina wageni wengi,International schools kama DIS,FEZA,FRENCH SCHOOL na nyingine nyingi zina wageni,Kampuni za mafuta Total,haliburton,statoil,oryx,gapco, mahoteli serena,southernsun,hyatt,fourseason,singitagrumeti,capetownfishmarket,seacliff,ramada,whitesands,ledgerbaharibeach,kunduchi. Nimewahi kwenda aghakhan nikahudumiwa na dr mghana na nikamhoji yuko hapa bongo na mumewe mghana, wanaigeria ndio mtaani wanazidi kuongezeka, wapite smile communication,airtel,tigo,zantel.
Pale tripple 7 bar tu wakivamia na kufatilia uraia watakuta matapeli wengi raia wa nje, fm academia ikipigwa waende. Sijui kwanini bongo police haruhusiwi kuuliza id yako
Hata wangeripotiwa hatua zisingechukuliwa kwa namna serikali ilikuwa inaendeshwa,utawala huu kidogo tunaona tofautiAdui wa Tanzania ni Watanzania wenyewe angalia hawa raia wa kigeni karibia wote wanaoishi kinyume cha sheria wanasaidiwa na Watanzania wenyewe.
Yote haya yalifanyika wakati wa JK. What a worst president in our history!Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha saruji cha Dangote Mtwara amefikishwa mahakamani leo 08/12/2015 kwa kosa la kuishi nchini bila kibali na kuwadharau maofisa wa serikali (Uhamiaji).
Mkurugenzi huyo raia wa India, anaesemekana amekuwepo nchini zaidi ya miaka 5 sasa bila kibali halali na bila kulipa gharama zinazojulikana kwa jina la CTA-Fees (USD 250 @ mhindi na mchina aliepo Dangote ambao ni zaidi ya 300) na USD 600 @ special fee, pesa hizo za CTA ambazo zinakadiriwa kufika USD 5Million sawa na zaidi ya Billion 10TZS ambazo zilishatolewaa/zinaatolewa mara kwa mara na Dangote makao makuu lakini zimekua hazifiki serikalini na kuishia mikononi mwa maafisa wachache wa uhamiaji wasio waaminifu ("kilisema chanzo icho chaa habari" kikimtaja afisa mmoja wa uhamiaji kwa jina la Leonard Igogo wa Ofisi za Uhamiaji Mtwara akishirikiaana na wenzie).
Pamoja na raia uyo wa India uhamiaji pia inamtafuta Mkurugenzi wa Fedha wa Dangote Mtwara aliejulikana kwa jina la Tolukisinzi kwa kuruhusu pesa hizo kulipwa kienyeji.
Pamoja na kukamatwa kwa muhindi huyo bado idara ya uhamiaji mtwara na wizara ya kazi zinalalamikiwa kwa kutofanya kazi zao inavyopaswa-kiasi cha kuruhusu raia wengi wa kigeni kiwandani hapo ambao wengi wao wanafanya kazi za ukarani lakini vibali vyao vinaonyesha kua ni mainjinia wa kihindi, majina yao na kazi zao ni kama ifuaatavyo:-
1. Selevam mkubwa - store keeper
2. Sanitosi - mjaza mafuta na mtunza rekodi za mafuta (aliedanganya kua ni engineer wa miamba zaidi ya Prof. Mhongo).
3. John Olakoni (raia wa naijeria) jeolojist mwenye diploma uyu yupo Tanzania toka 2006. Sasa sijui amepewa uraia Tayari?
4. Sura Red - fundi magari.
5. Panti - huyu hana ata vibali kwa taarifa tulizopata kutoka kwa watu wake wa karibu.
6. Selvam mdogo - uyu ni clearing agent wa mizigo ya kiwanda cha dangote kipenzi cha wafanyakazi wa bandari ya Mtwara.
7. Pushpenda - afisa mauzo
8. Dipa Nandi - electrical technician
9. Kumar Rakishe - godown officer
10. Satiyan - mechanical assistant
11. Narayani - mtunza store na records assistant
12. Manuji - mpasua miamba
13. Aravinda - mpima diseli
Orodha nyengine nitawaletea ikipatikana, ila kwa kuanzia Waziri Mavunde, Kitwanga, Simbachawene wanaweza kuanza na hao ambao ni robo theluthi ya raia hao wanaofanyakazi zinazowezwa kufwanya kwa ufasaha zaidi na WATANZANIA
Narayani Aravinda - uyu nae ni store ofisa na mtunza rekodi.
Kwa jinsi mfuko wa huju dangote sijui kama hawa jamaa hawakutumbukizwa mifukoni alafu hao jamaa waendelee kupetaMkurugenzi mkuu wa kiwanda cha saruji cha Dangote Mtwara amefikishwa mahakamani leo 08/12/2015 kwa kosa la kuishi nchini bila kibali na kuwadharau maofisa wa serikali (Uhamiaji).