AMBAE NIKO
New Member
- Jan 1, 2016
- 3
- 16
Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha saruji cha Dangote Mtwara amefikishwa mahakamani leo 08/12/2015 kwa kosa la kuishi nchini bila kibali na kuwadharau maofisa wa serikali (Uhamiaji).
Mkurugenzi huyo raia wa India, anaesemekana amekuwepo nchini zaidi ya miaka 5 sasa bila kibali halali na bila kulipa gharama zinazojulikana kwa jina la CTA-Fees (USD 250 @ mhindi na mchina aliepo Dangote ambao ni zaidi ya 300) na USD 600 @ special fee, pesa hizo za CTA ambazo zinakadiriwa kufika USD 5Million sawa na zaidi ya Billion 10TZS ambazo zilishatolewaa/zinaatolewa mara kwa mara na Dangote makao makuu lakini zimekua hazifiki serikalini na kuishia mikononi mwa maafisa wachache wa uhamiaji wasio waaminifu ("kilisema chanzo icho chaa habari" kikimtaja afisa mmoja wa uhamiaji kwa jina la Leonard Igogo wa Ofisi za Uhamiaji Mtwara akishirikiaana na wenzie).
Pamoja na raia uyo wa India uhamiaji pia inamtafuta Mkurugenzi wa Fedha wa Dangote Mtwara aliejulikana kwa jina la Tolukisinzi kwa kuruhusu pesa hizo kulipwa kienyeji.
Pamoja na kukamatwa kwa muhindi huyo bado idara ya uhamiaji mtwara na wizara ya kazi zinalalamikiwa kwa kutofanya kazi zao inavyopaswa-kiasi cha kuruhusu raia wengi wa kigeni kiwandani hapo ambao wengi wao wanafanya kazi za ukarani lakini vibali vyao vinaonyesha kua ni mainjinia wa kihindi, majina yao na kazi zao ni kama ifuaatavyo:-
1. Selevam mkubwa - store keeper
2. Sanitosi - mjaza mafuta na mtunza rekodi za mafuta (aliedanganya kua ni engineer wa miamba zaidi ya Prof. Mhongo).
3. John Olakoni (raia wa naijeria) jeolojist mwenye diploma uyu yupo Tanzania toka 2006. Sasa sijui amepewa uraia Tayari?
4. Sura Red - fundi magari.
5. Panti - huyu hana ata vibali kwa taarifa tulizopata kutoka kwa watu wake wa karibu.
6. Selvam mdogo - uyu ni clearing agent wa mizigo ya kiwanda cha dangote kipenzi cha wafanyakazi wa bandari ya Mtwara.
7. Pushpenda - afisa mauzo
8. Dipa Nandi - electrical technician
9. Kumar Rakishe - godown officer
10. Satiyan - mechanical assistant
11. Narayani - mtunza store na records assistant
12. Manuji - mpasua miamba
13. Aravinda - mpima diseli
Orodha nyengine nitawaletea ikipatikana, ila kwa kuanzia Waziri Mavunde, Kitwanga, Simbachawene wanaweza kuanza na hao ambao ni robo theluthi ya raia hao wanaofanyakazi zinazowezwa kufwanya kwa ufasaha zaidi na WATANZANIA
Narayani Aravinda - uyu nae ni store ofisa na mtunza rekodi.

Last edited by a moderator: