Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Dangote Mtwara apandishwa kizimbani

AMBAE NIKO

New Member
Jan 1, 2016
3
16
Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha saruji cha Dangote Mtwara amefikishwa mahakamani leo 08/12/2015 kwa kosa la kuishi nchini bila kibali na kuwadharau maofisa wa serikali (Uhamiaji).

Mkurugenzi huyo raia wa India, anaesemekana amekuwepo nchini zaidi ya miaka 5 sasa bila kibali halali na bila kulipa gharama zinazojulikana kwa jina la CTA-Fees (USD 250 @ mhindi na mchina aliepo Dangote ambao ni zaidi ya 300) na USD 600 @ special fee, pesa hizo za CTA ambazo zinakadiriwa kufika USD 5Million sawa na zaidi ya Billion 10TZS ambazo zilishatolewaa/zinaatolewa mara kwa mara na Dangote makao makuu lakini zimekua hazifiki serikalini na kuishia mikononi mwa maafisa wachache wa uhamiaji wasio waaminifu ("kilisema chanzo icho chaa habari" kikimtaja afisa mmoja wa uhamiaji kwa jina la Leonard Igogo wa Ofisi za Uhamiaji Mtwara akishirikiaana na wenzie).

Pamoja na raia uyo wa India uhamiaji pia inamtafuta Mkurugenzi wa Fedha wa Dangote Mtwara aliejulikana kwa jina la Tolukisinzi kwa kuruhusu pesa hizo kulipwa kienyeji.

Pamoja na kukamatwa kwa muhindi huyo bado idara ya uhamiaji mtwara na wizara ya kazi zinalalamikiwa kwa kutofanya kazi zao inavyopaswa-kiasi cha kuruhusu raia wengi wa kigeni kiwandani hapo ambao wengi wao wanafanya kazi za ukarani lakini vibali vyao vinaonyesha kua ni mainjinia wa kihindi, majina yao na kazi zao ni kama ifuaatavyo:-
1. Selevam mkubwa - store keeper
2. Sanitosi - mjaza mafuta na mtunza rekodi za mafuta (aliedanganya kua ni engineer wa miamba zaidi ya Prof. Mhongo).
3. John Olakoni (raia wa naijeria) jeolojist mwenye diploma uyu yupo Tanzania toka 2006. Sasa sijui amepewa uraia Tayari?
4. Sura Red - fundi magari.
5. Panti - huyu hana ata vibali kwa taarifa tulizopata kutoka kwa watu wake wa karibu.
6. Selvam mdogo - uyu ni clearing agent wa mizigo ya kiwanda cha dangote kipenzi cha wafanyakazi wa bandari ya Mtwara.
7. Pushpenda - afisa mauzo
8. Dipa Nandi - electrical technician
9. Kumar Rakishe - godown officer
10. Satiyan - mechanical assistant
11. Narayani - mtunza store na records assistant
12. Manuji - mpasua miamba
13. Aravinda - mpima diseli

Orodha nyengine nitawaletea ikipatikana, ila kwa kuanzia Waziri Mavunde, Kitwanga, Simbachawene wanaweza kuanza na hao ambao ni robo theluthi ya raia hao wanaofanyakazi zinazowezwa kufwanya kwa ufasaha zaidi na WATANZANIA

Narayani Aravinda - uyu nae ni store ofisa na mtunza rekodi.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu wewe ni mkweli,huyo namba 3 John Olakoni nimewahi kukutana nae kwa issue za kikazi,ila ni mtu strict sana na kazi na jeolojia anaijua vizuri kabisa.
 
Hii kusema kweli ni more than sad, mm natafuta kazi for more than six months ss, ina sikitisha sana kuona wageni wanakuja wana faidika kuliko ss wenyewe. To make it worse. this people are not even qualified. Hii inakuwaje lkn. It only happens in this country. Ujinga kama huu huwezi kuukuta Kenya au Uganda. We need to wake up
 
AMBAE NIKO: Inavyoonekana wewe unawafahamu sana hawa watu, pia unakifahamu sana hicho kiwanda. Mimi napendekeza ufanye haraka sana hiyo orodha uifikishe TISS au uitume kwa katibu Mkuu kiongozi Balozi Sefue Ombeni; pia ipeleke kwa wanahabari ili iripotiwe haraka sana; mpelekee na mbunge wa jimbo lako ili kuhakikisha wanarudishwa huko walikotoka haraka na wasipate tena nafasi ya kurudi hapo kuwandani.

"HAPA KAZI TU"
 
Wageni wafukuzwe wote watuachie Nchi yetu.....

Watanzania wasomi wapo wanapwiyanga na vyeti tu Barabarani...
 
Hii nchi hivi ina taabu gani? Mbona wageni hupewa kipaumbele hata kuzidi wenye nchi wenyewe cha maajabu kazi wanazokuja kuzifanya ni za kawaida ambazo zingefanywa na mtanzania tena kwa ufanisi wa hali ya kurizisha alafu hawa tunaojipendekeza kuwapa hizo nafasi ingia ndani ya nchi zao uone moto.kitu kingine na sisi tukipata hizi nafasi basi tupunguze kale katabia kakujichumia pesa ambayo si halali muda mwingine tunakatisha tamaa.
 
Tutashuhudia mengi sana awamu hii ya mh.Magu.ukipita dangote nje ya kiwanda utawakuta vijana wengi wa kitanzania wapo wamepiga kambi nje getini wanasubiri Ajira.wachina na wahindi wengi wako ndani ya kiwanda wanafanya hata kazi za kuzoa takataka inasikitisha saana hali hii.:eek::eek::eek::eek:
 
Unaongea dangote hata kwa mzee machache pia kwenye media na maji kuna wahindi na wakenya wengi sana, imashangaza media inaajiri mkenya au mganda kisa anajua kiingereza wapo vijana wanaweza. Hizi PR and advertising companies pia zina wageni wengi,International schools kama DIS,FEZA,FRENCH SCHOOL na nyingine nyingi zina wageni,Kampuni za mafuta Total,haliburton,statoil,oryx,gapco, mahoteli serena,southernsun,hyatt,fourseason,singitagrumeti,capetownfishmarket,seacliff,ramada,whitesands,ledgerbaharibeach,kunduchi. Nimewahi kwenda aghakhan nikahudumiwa na dr mghana na nikamhoji yuko hapa bongo na mumewe mghana, wanaigeria ndio mtaani wanazidi kuongezeka, wapite smile communication,airtel,tigo,zantel.
Pale tripple 7 bar tu wakivamia na kufatilia uraia watakuta matapeli wengi raia wa nje, fm academia ikipigwa waende. Sijui kwanini bongo police haruhusiwi kuuliza id yako
 
huyo jamaa wa immigration leonard igogo ,kwanza anatumia cheti feki jina lake halisi ni paul igogo hilo leonard igogo jina ni la marehemu tuliokuwa mzumbe miaka ya 2000 nafikiri mnamkumbuka!uhamiaji walivyogundua wakamtoa hapa sirari kumpeleka mtwara!
juzi kati kapiga pesa za dangote nasikia anajenga shule.
 
Hakuna njia a kuiwajinisha serikali iliuopita?
Angalieni ajira za watu wangapi hapo zimezibwa?
Watanzania tuliwa smart rate ya unemployment itashuka sana na hatutakiwi tuishi kama tunavyoisha sasa.
 
Unaongea dangote hata kwa mzee machache pia kwenye media na maji kuna wahindi na wakenya wengi sana, imashangaza media inaajiri mkenya au mganda kisa anajua kiingereza wapo vijana wanaweza. Hizi PR and advertising companies pia zina wageni wengi,International schools kama DIS,FEZA,FRENCH SCHOOL na nyingine nyingi zina wageni,Kampuni za mafuta Total,haliburton,statoil,oryx,gapco, mahoteli serena,southernsun,hyatt,fourseason,singitagrumeti,capetownfishmarket,seacliff,ramada,whitesands,ledgerbaharibeach,kunduchi. Nimewahi kwenda aghakhan nikahudumiwa na dr mghana na nikamhoji yuko hapa bongo na mumewe mghana, wanaigeria ndio mtaani wanazidi kuongezeka, wapite smile communication,airtel,tigo,zantel.
Pale tripple 7 bar tu wakivamia na kufatilia uraia watakuta matapeli wengi raia wa nje, fm academia ikipigwa waende. Sijui kwanini bongo police haruhusiwi kuuliza id yako
Kweli mkuu waende huko kama FEZA hata mwalimu wa somo la kiswahili mturuki
 
huyo jamaa wa immigration leonard igogo ,kwanza anatumia cheti feki jina lake halisi ni paul igogo hilo leonard igogo jina ni la marehemu tuliokuwa mzumbe miaka ya 2000 nafikiri mnamkumbuka!uhamiaji walivyogundua wakamtoa hapa sirari kumpeleka mtwara!
juzi kati kapiga pesa za dangote nasikia anajenga shule.
Kwa hio jama naye ni jipu tena punye
 
Back
Top Bottom