kinguo
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 440
- 318
Toka ateuliwe kuwa mkurugenzi wa tbc ndugu Ayub Rioba. Ni muda sasa hajaonekana akitoa muelekeo wa kazi yake hii mpya ya ukurugenzi. Nini kimemsibu huyu nguli wa habari hapa nyumbani Tanzania hata kwa kuonekana kwamba anataka tbc inachukua uelekeo gani au anataka shirika atalipelekea vp ili lijiendeshe kwa faida. Likatokana na utegemezi wa ruzuku za serilali.