Mkurugenzi TBC: Uzushi huwachota watu wajinga, wakiambiwa mvuvi amepiga mlango wa ndege hadi ukafunguka wanaamini

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayoub Rioba amesema Habari za kizushi mara nyingi zinawachota watu wajinga ambapo amefafania kuwa ujinga si tusi lakini watu wajinga maana yake ni watu wasiokuwa na maarifa ya kutosha.

Akizungumza kutoka katika kongamano la kwanza la maendeleo ya sekta ya habari linalofanyika jijini Dar es Salaam Rioba amesema watu wajinga hata wakiambiwa mvuvi amepiga mlango wa ndege, mlango ukafunguka wanaamini.

#KongamanoHabari2022
 
We ndio mzushi mkubwa na mwongo. Dr Ryoba hawezi kusema hayo maneno. Sababu inajulikana.
 
Yeye na TBC yake kuna nini cha maana wanafanya zaidi ya ujinga ujinga tu...
Sijawahi ona mkurugenzi wa hovyo km Ryoba hana sifa na hawezi kazi ya ukurugenzi aliwekwa na Magu sababu ya ukanda. Anachoweza ni ulevi na kubwabwaja sijui kwanini hawajamwondea mpaka Leo. TBC hakuna kitu haina mvuto wowote wala taarifa ya maana bora Channel Ten baba lao ITV. Aondolewe.
 
Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayoub Rioba amesema Habari za kizushi mara nyingi zinawachota watu wajinga ambapo amefafania kuwa ujinga si tusi lakini watu wajinga maana yake ni watu wasiokuwa na maarifa ya kutosha.

Akizungumza kutoka katika kongamano la kwanza la maendeleo ya sekta ya habari linalofanyika jijini Dar es Salaam Rioba amesema watu wajinga hata wakiambiwa mvuvi amepiga mlango wa ndege, mlango ukafunguka wanaamini.

#KongamanoHabari2022
Nilikuwa naangalia LIVE mbona sijasikia hayo maneno uliyoandika hapa yanayohusu mvuvi kupiga mlango wa ndege

Kwanini usilete video inayothibitisha hayo maneno uliyoandika.
 
Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayoub Rioba amesema Habari za kizushi mara nyingi zinawachota watu wajinga ambapo amefafania kuwa ujinga si tusi lakini watu wajinga maana yake ni watu wasiokuwa na maarifa ya kutosha.

Akizungumza kutoka katika kongamano la kwanza la maendeleo ya sekta ya habari linalofanyika jijini Dar es Salaam Rioba amesema watu wajinga hata wakiambiwa mvuvi amepiga mlango wa ndege, mlango ukafunguka wanaamini.

#KongamanoHabari2022
Ajira yake kaiweka kwenye samadi kwa kauli hii
 
Back
Top Bottom