Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,781
- 239,458
Inasemekana huyu ametumiwa mara nyingi na CCM kufungua na kughushi mashauri mbalimbali mahakamani dhidi ya vyama vya upinzani.
Inasemekana amelipwa kutokana na kesi za kizushi alizofungua kupinga uchaguzi wa Mameya wa manispaa ya kinondoni na ule wa Meya wa Jiji la D'Salaam.
Ni wakili wa mahakama kuu na aliangukia pua kwenye kura za maoni za CCM jimbo la Kawe, alishindwa na Kippi Warioba, ambaye kisago alichopewa na Halima Mdee hatakisahau.
MyTake - kuna uvumi kwamba hajawahi kushinda kesi hata moja (ushahidi ni kesi za uchaguzi wa Mameya), Je ukurugenzi atauweza?
Hakika vyeo vya CCM ni rahisi sana, hata walioshindwa wanapata.