Mkurugenzi Mkuu wa NMB, Bi. Zaipuna akutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko

View attachment 2825611
===
Viongozi kutoka Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu Wetu - Bi. Ruth Zaipuna, wamekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Biteko ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.

Pamoja na mambo mengine, wamempongeza Mhe. Naibu Waziri Mkuu kwa kuteuliwa kushika wadhifa huo na tumemuahidi ushirikiano katika juhudi za kuwaletea wananchi maendeleo. Benki inamtakia kila la kheri katika kutekeleza majukumu yake.

View attachment 2825624

Tunapozungumzia kasi kubwa ya maendeleo ya Tanzania na Watanzania ni ngumu kuitengenisha benki hii ya NMB na Benki zingine na mafanikio hayo toka vijijini mpaka mjini, toka kwa wafanyabiashara wadogo mpaka wafanyabiashara wakati na wale mabilionea.

Mwanzoni na baada ya kuasisiwa kwake ilidhaniwa kuwa hakuna mtoto wa Kitanzania anayeweza kuiongoza Benki hii ya NMB PLC inayokua kwa kasi isipokuwa Wazungu wenye mali,

Uthubuti wa Bodi ya Wakurugenzi chini ya Mwenyekiti wake Dkt Edwin Mhede wa kumteua Mwanamama wa Kitanzania Bi. Ruth Zaipuna pamoja na Wasaidizi wake imekuwa ni chachu ya mafanikio makubwa na yaharaka ambayo hata wazungu ambao ndio wenye hisa nyingi katika Benki hiyo naamini hawakuyatarajia,

Baada ya safari ndefu ya Benki hii chini ya wageni leo tunashuhudia watoto wa Kitanzania yaani Bi. Ruth Zaipuna na Dkt Dotto Biteko wakijadili namna ya kulisaidia Taifa lao kwa pamoja ili Kila Mtanzania mwenye hitaji la Biashara na mwenye Sifa stahiki apewe mkopo kwa haraka na kwa riba nafuu.

...........Kazi iendelee..........
Dotto jembe sana
 
Mungu ibariki NMB,
Pale Kuna kichwa kinaitwa Akoonay jamaa ni material sana huwa napata story toka kwa wife Yuko nmb
 
NMB iko poa sana Tatizo mkwanja tu
 
Hello Jf,

Tatizo kubwa hivi Sasa la bank zetu ni riba kubwa,

Riba ni kati ya 9 hadi 30% kulingana na bank na aina ya mkopo unaokopa,

Kuna haja ya BOT kufanya standardization ya hizi riba,

Walau riba zibaki kuwa single digit

NMB tunawapongeza japo mnatakiwa kushusha zaidi riba zenu,

Ni Mimi tajiri la Bitcon,
 
Sahihi kabisa,
Hata lugha za wahudumu kunawakati wanalewa vyeo,
Wanakosa lugha za kibiashara

Ila NMB & CRDB mnajitahidi sana,

BOT wasiingilie mamlaka za kinenki nakumbuka Rais alisema mtu mmoja kakopa Benki Saba maana yake amekopa kwa maelekezo ya Serikali.
 
View attachment 2825611
===
Viongozi kutoka Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu Wetu - Bi. Ruth Zaipuna, wamekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Biteko ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.

Pamoja na mambo mengine, wamempongeza Mhe. Naibu Waziri Mkuu kwa kuteuliwa kushika wadhifa huo na tumemuahidi ushirikiano katika juhudi za kuwaletea wananchi maendeleo. Benki inamtakia kila la kheri katika kutekeleza majukumu yake.

View attachment 2825624

Tunapozungumzia kasi kubwa ya maendeleo ya Tanzania na Watanzania ni ngumu kuitengenisha benki hii ya NMB na Benki zingine na mafanikio hayo toka vijijini mpaka mjini, toka kwa wafanyabiashara wadogo mpaka wafanyabiashara wakati na wale mabilionea.

Mwanzoni na baada ya kuasisiwa kwake ilidhaniwa kuwa hakuna mtoto wa Kitanzania anayeweza kuiongoza Benki hii ya NMB PLC inayokua kwa kasi isipokuwa Wazungu wenye mali,

Uthubuti wa Bodi ya Wakurugenzi chini ya Mwenyekiti wake Dkt Edwin Mhede wa kumteua Mwanamama wa Kitanzania Bi. Ruth Zaipuna pamoja na Wasaidizi wake imekuwa ni chachu ya mafanikio makubwa na yaharaka ambayo hata wazungu ambao ndio wenye hisa nyingi katika Benki hiyo naamini hawakuyatarajia,

Baada ya safari ndefu ya Benki hii chini ya wageni leo tunashuhudia watoto wa Kitanzania yaani Bi. Ruth Zaipuna na Dkt Dotto Biteko wakijadili namna ya kulisaidia Taifa lao kwa pamoja ili Kila Mtanzania mwenye hitaji la Biashara na mwenye Sifa stahiki apewe mkopo kwa haraka na kwa riba nafuu.

...........Kazi iendelee..........
sasa huyo dada kukutana na doto sisi inatuhusu nini?
 
NMB wanatoa sana misaada kwa jamii mbona mabenki mengine hayatoi?

Nenda Hospitali NMB

Nenda shule NMB

Nenda Magereza NMB

CRDB, TCB, NBC wao ligi tu
 
Back
Top Bottom