KERO Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Arusha timiza wajibu wako

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Arusha halipi malipo ya watumishi kwa wakati.

Watumishi wanalalamika kwa kukaa na madokezo miezi kadhaa bila kulipa na hata akipigiwa simu anajibu 'msinifundishe kazi'.

Kuna kero nyingi na Waziri yupo "busy" na Mamlaka nyingine. Waziri uje Arusha na ukae na watumishi.

Kero ya Maji huko mtaani mpaka tunakosa majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…