Mkurugenzi Halmashauri ya Meru amekula posho za walimu wakuu na waratibu elimu kata

Kibogoyio2020

Senior Member
May 4, 2018
154
77
Kwa hali ya kusikitisha mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru amekula posho za walimu wakuu na waratibu elimu kata kuanzia April 2018.kwa hali ilivyo walimu wamekata tamaa na wameamua kuweka mgomo baridi.
Jf imejaribu kufuatilia suala hilo ikagundua afisaelimu msingi wa meru ni shida na amezoea kula fedha za walimu hata huko arusha DC alitoka kwakashifa ya wizi wa fedha.
 
Acha uongo hiyo fedha inaingia kwenye akaunti ya shule husika.
Mkurugenzi anaipataje hiyo Posho.Uongo mwingine muwe mnauliza kwanza.
 
Una ushahidi kuwa kazila?
Acha uongo hiyo fedha inaingia kwenye akaunti ya shule husika.
Mkurugenzi anaipataje hiyo Posho.Uongo mwingine muwe mnauliza kwanza.
Mna ushahidi gani hazijaliwa?
Kama hizo fedha zimeshatolewa na hazikuingizwa kwenye account za shule husika zitakuwa wapi, endapo ufuatiliwaji umefanywa na hakuna majibu ya kueleweka??
 
Nasikia huko Meru pia wakuu wa shule wamekula fedha za Zawadi alizotoa Ndalichako Kwa shule zilizofanya vizuri.
Meru balaa.
 
naaikia April hawakipata hiyo chenji. ndo imeondoka.

halafu hao walimu wakuu na waratibu waache upumbavu, ukiachia wengine wananyakua
 
Kwa hali ya kusikitisha mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru amekula posho za walimu wakuu na waratibu elimu kata kuanzia April 2018.kwa hali ilivyo walimu wamekata tamaa na wameamua kuweka mgomo baridi.
Jf imejaribu kufuatilia suala hilo ikagundua afisaelimu msingi wa meru ni shida na amezoea kula fedha za walimu hata huko arusha DC alitoka kwakashifa ya wizi wa fedha.
Fedha hizo zinaingizwa kwenye account za shule ila kuanzia april 2018 hazijaingizwa posho zao. Mkurugenzi wa halmashauri ya meru amezila. Walimu wanalalamika usiku na mchana
 
Back
Top Bottom