Huyo DeD amesha dedi
IQ ndogo
Huwezo hamnazo
Yaaan ni tabu tu
Sijui hvyo vyeo wanavipata kwa kuloga na kukesha kwa waganga kama ni mpango wa Mungu sio hvyo
Walimu na polisi nchini mwetu ni kada zinazodharauliwa sana. Hayo kwa walimu kufanyiwa imeshakuwa kawaida na wao kwa woga wao wanajua ndo utaratibu. Wengine huzabwa makofi hadharani. Ni Mambo ya hovyo kwakweli. Na mbaya zaidi teuzi nyingi za Ma-DED siku hizi zimekuwa za kisiasa zaidi hazizingatii utaratibu wa ajra bali zinalenga chaguzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.