Mkurugenzi Amlilia Meya Arusha

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Mkurugenzi wa jiji la Arusha,Dkt Maulid Madeni ameeleza utendaji uliotukuka kwa aliyekuwa Meya wa jiji hilo ,Kalist Lazaro ambaye hivi karibuni ametangaza kukihama chama chake cha Chadema na kupoteza wadhifa huo.

Akiongea kwa Masikitiko na machungu Makubwa wakati Kalisti akikabidhi ofisi kwa mkurugenzi hiyo,Dkt Madeni amemwelezea kalist kama kiongozi asiyekuwa na makuu na kwamba halmashauri imepoteza mtu Makini kwa uchapakazi.

Amesema Kalist alikuwa mku makini mwenye ushirikiano na viongozi wenzake bila kujali itikadi ya siasa na alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha jiji la Arusha linatekeleza miradi yake kwa kiwango cha juu.

IMG_20191125_111404.jpeg
 
View attachment 1272003
Wanaume wa ccm wanawalilia wanaume wenzao,kuna tatizo huko ccm
 
Dr Madeni.. Mpeni salamu zake kutoka huku Botswana...Kitengo siku hizi kimemegwa sana
 
Back
Top Bottom