Mkuranga kunani malipo ya Walimu wanaosimamia mitihani?

wakikosi

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
1,354
1,483
Walimu wanasimamia mitihani ya kitaifa lakini wengine wanalipwa kwa wakati na wengine malipo yao huwa ni kwa kuvutana sana

Mitihani ya darasa la 7 kuna walimu walilipwa baada ya wiki 2 tangu mitihani iishe.

Na leo mitihani ya kitaifa darasa la 4 imekamilika leo kufanyika nchi nzima

Lakini kuna walimu wengi waliosimamia mitihani hiyo ya darasa la 4 hadi sasa hawajalipwa,kuanzia pesa ya semina ya mtihani huo hadi malipo ya kusimamia mitihani hiyo.

Halmashauri ya wilaya Mkuranga mjitafakari hizi kazi ni ngumu sana,na walimu wanatarajia kupata chochote baada ya kufanya kazi ngumu hizi zenye hatari ya kila aina.

Mkuranga mjitafakari sana, haya mambo hayapo wilaya zingine lakini ni Mkuranga tu
 
Acha tu,unasota kusimamia mtihani wa taifa under pressure,kwenye mazingira magumu alafu kwenye malipo wengine wanalipwa na wengine mnasubiri siku 2,3,4,5 yaani ni kero
 
Shida ya walimu mna roho za kinafiki sana na wambea sana na waongo sana
Kwanza niwaombe badilikeni sana

Acheni kulalamika nyinyi sio watumishi pekee katika hii nchi
Kwanza wanacholifanya serekali ni kutoa Asante na kutambua mchango wenu

Wapi katika mkataba wako wakusimamia mtihani kuwa unatakiwa kulipwa?

Badilikeni snaa
 
hizi kazi ni ngumu sana,na walimu wanatarajia kupata chochote baada ya kufanya kazi ngumu hizi zenye hatari ya kila aina.
Siku zote kazi ngumu hukwepwa kwakuwa ni risk, wewe ulijipelekaje huko
 
Ualimu ni wito komaa, kama utashindwa nenda kajiajiri ujisimamie under pressure ili ujilipe kikubwa.
 
Shida ya walimu mna roho za kinafiki sana na wambea sana na waongo sana
Kwanza niwaombe badilikeni sana

Acheni kulalamika nyinyi sio watumishi pekee katika hii nchi
Kwanza wanacholifanya serekali ni kutoa Asante na kutambua mchango wenu

Wapi katika mkataba wako wakusimamia mtihani kuwa unatakiwa kulipwa?

Badilikeni snaa
Kwa hiyo wilaya zingine zinapowalipa walimu kwa wakati huwa wanawafanyia hisani sio?
 
Shida ya walimu mna roho za kinafiki sana na wambea sana na waongo sana
Kwanza niwaombe badilikeni sana

Acheni kulalamika nyinyi sio watumishi pekee katika hii nchi
Kwanza wanacholifanya serekali ni kutoa Asante na kutambua mchango wenu

Wapi katika mkataba wako wakusimamia mtihani kuwa unatakiwa kulipwa?

Badilikeni snaa
Unaposema walimu ni waongo,uongo upi hapo?

Unaposema walimu wanafiki ni unafiki upi?

Kwa umuhimu wa shughuli nzima na unyeti wa kazi ya national exams hupaswi kuongea hivyo,taifa linajengwa na usimamizi makini wa mitihani na wanaofanya kazi hiyo sharti walipwe vizuri na kwa wakati ili kuendelea kuifanya kazi hiyo makini kwa umakini zaidi
 
Acheni maneno fanyeni kazi za Umma nyinyi
 
Shida ya walimu mna roho za kinafiki sana na wambea sana na waongo sana
Kwanza niwaombe badilikeni sana

Acheni kulalamika nyinyi sio watumishi pekee katika hii nchi
Kwanza wanacholifanya serekali ni kutoa Asante na kutambua mchango wenu

Wapi katika mkataba wako wakusimamia mtihani kuwa unatakiwa kulipwa?

Badilikeni snaa
Makubwa haya jamen...yaan mnazidi kutukandamiza? Daa
 
Unaposema walimu ni waongo,uongo upi hapo?

Unaposema walimu wanafiki ni unafiki upi?

Kwa umuhimu wa shughuli nzima na unyeti wa kazi ya national exams hupaswi kuongea hivyo,taifa linajengwa na usimamizi makini wa mitihani na wanaofanya kazi hiyo sharti walipwe vizuri na kwa wakati ili kuendelea kuifanya kazi hiyo makini kwa umakini zaidi
Achana nae,yeye kapata litamkumbusha kaburi kwamba ulimwengu haukuwa wako ilitakiwa uwe fair tu
 
Acha tu,unasota kusimamia mtihani wa taifa under pressure,kwenye mazingira magumu alafu kwenye malipo wengine wanalipwa na wengine mnasubiri siku 2,3,4,5 yaani ni kero
Pole kamanda,vumilia ndo mkuranga hiyo,so unajua waliopo mjengoni ni kina nanipale wilayani.
Kuwa mpole.
Solidarity forever
 
M
Shida ya walimu mna roho za kinafiki sana na wambea sana na waongo sana
Kwanza niwaombe badilikeni sana

Acheni kulalamika nyinyi sio watumishi pekee katika hii nchi
Kwanza wanacholifanya serekali ni kutoa Asante na kutambua mchango wenu

Wapi katika mkataba wako wakusimamia mtihani kuwa unatakiwa kulipwa?

Badilikeni snaa
Mitihani inakuja na muongozo wa malipo yake toka Baraza la mitihani kwamba semina watalipwa kiasi gani na kazi siku ngapi na kwa siku kiasi gani.
Hapo labda useme kingine.
 
Back
Top Bottom