Mkulo waziri mwongo kuliko wote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkulo waziri mwongo kuliko wote

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jun 30, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,351
  Likes Received: 5,653
  Trophy Points: 280
  Jamani bunge labajeti lililopita mlisikia mafuta ya taa yamepunguzwa kodi
  ilichukua wiki kama sio mwezi kupungua ,baada ya hapo jamani mafuta ya taa yalipanda na
  yalikuwa yanakaribia bei ya disel mpaka majuzi 1800 disel 2050 sasa leohii anatangaza kupunguza
  bei za mafuta huyu sio msanii namwongo kama ameshindwa kusimamia mafuta yanayoletwa
  kiasi kidogo nini disel na petrol
  waziri embu angalia nani wa kudanganya jamani
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,129
  Trophy Points: 280
  Ingekuwa nchi za watu angekuwa amefukuzwa kazi lakini kwa kuwa hii ni tanzania ya manyani ndiyo maana hata wanaoahidi kujiuzuru hawajiuzuru na hawachukuliwi hatua zozote..........watz ni manyani ya kulalamika tu
   
 3. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kawaida ya mtu mwenye wanawake wengi ni kuwa mwongo...........huyu jamaa ''samaki hapishi chambo''
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,351
  Likes Received: 5,653
  Trophy Points: 280
  Mwisho wa siku unasikia anapewa ubalozi wa comoro
   
 5. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,978
  Likes Received: 20,359
  Trophy Points: 280
  Sababu waliyoitoa kwa ajili ya kuongeza kodi katika kerosene siafikiani nayo kabisa na kwa hali yoyote haikujua umuhimu wa mafuta ya taa katika umma wenye maisha ya kawaida na ya kati,kuongeza Tshs 400 katika mafuta ya taa ambayo leo yanauzwa tshs 1700 ina maana kuwa kuanzia j3 bei itakuwa 2100 na hii ni kutuumiza tunaotumia mafuta haya kwa ajili ya mwanga na kupikia.
  Nimemskia Masebu TBC1 (hawa nao hawakutoa nafasi aongelee mafuta ya taa kikamilifu) alitoa taarifa kijuujuu tu nadhani ni kwa vile yy hatumii mafuta ya taa
   
 6. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  elimu yake tu ya uongo.. achilia mbali budget
   
 7. P

  Patflax jr Member

  #7
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Waachen wenye nuru yao wajue kuitumia hakika weng tutakufa maskin.
   
 8. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #8
  Jun 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  jamani eeenh , ccm hakuna mtu yoyote anaeweza kupewa madaraka katika nafasi ile akaperfom, hakuna mtu mwenye akili alie ndani ya ccm, wote wametoka, wote wameenda vyama vya upinzani, Mkulo ndio anajitahidi pale, zaidi ya huyo Nani mzee Komba ? ama ? Tazama Kawambwa, Tazama Malima, Tazama Wasira, wamechoka Mbaya !
   
 9. K

  Kahinda JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 849
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Si kweli kwamba CCM hakuna watu wenye akili. Tatizo ni kwamba wenye akili wote walioko CCM wanapigwa mikwala na wababaishaji.
  Huwezi kuwa kiongozi mbabaishaji ukataka uwe na wasaidizi makini, itabidi utafute wale ambao wana hadhi ya kwako. Hivyo wenye akili wote CCM wako kwenye benchi.
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  Nchi za wenzetu wanachukua hatua lakini wabongo tutalalamika wee mpaka Bwana atakaporudi.
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,351
  Likes Received: 5,653
  Trophy Points: 280
  afadhali arudi wamwone wote wanakufa bila hata kumwona so unateseka dunian na huko mbele ujui kukoje
  Maandamano
   
Loading...