Mkulo katokomea kama Balali?

Simchezo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
445
345
Wana JF, Napata wasiwasi isije waziri Mkulo akawa ametoweka kwa staili ya Daud Balali!!!!!
 
Umenishtua sana vipi mkulu yeye amerudi? isije akapotea huko pia
 
mkulo maejificha kwenye vichaka nyumbani kwake kimamba, Kilosa
 
Wana JF, Napata wasiwasi isije waziri Mkulo akawa ametoweka kwa staili ya Daud Balali!!!!!

as i know he was or is somewhere in Brussel amekimbia debates. Nahisi alishauriwa asiwe Dodoma cos he know what comes. Sijui kama amerudi nyumbani au la but he was in Belgium
saa ya ukombozi imefika
 
Atarejea kimya kimya bila ****** na atakimbilia MALINYI kujificha ili watanzania wasahau siku 2 kama kawaida yao,afu atajiokeza live na kusema 'iundwe tume'
 
mkulo mwizi mkubwa yule.....ivi hela za deci ndo analelea familia yake nini? mbona kimya sana?
 
Hapa nafikiri kitu , hivi Kikwete yupo kwenye hali gani sasa hivi? 'Anawaza nini kuvunja baraza, kung'atuka kubembeleza au?
 
tumemwona jana akiwa na kikwete Brazil ndo wanapanga kutokomea

J. Kikwete anarudi usiku wa Leo; Hivyo kesho yupo nchini kuja kushuhudia report zinazohusu Marafiki zake wapenzi aliowapa UWAZIRI.

Kama alivyofanya kwa Waziri wa Afya ndivyo itakavyokuwa kwa hawa mawaziri wenye tuhuma hizi pamoja na Waziri Mkuu PINDA. Lazima atapindisha maamuzi tu kwa manufaa ya kulinda marafiki. Kama kawaida yake Baba Mwanaasha.

"TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA, TUANDAE KABURI LA KUIZIKA MWAKA 2015"

"AWAMU ZOTE NNE TANZANIA WAMEUA"

"CCM ITAKUFA MIKONONI MWA UONGOZI WA KIKWETE"



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Back
Top Bottom