Mkulo afunika Kilosa

Mkulo afunika Kilosa

Jituoriginal

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2010
Posts
349
Reaction score
32
Waziri wa fedha mstaafu Mustapha Mkulo,jana 19 may alipokewa kwa shangwe na vingora na mamia ya wananchi wa jimbo lake .mapokezi hayo yalianzia mji mdogo wa Kimamba na kuhitimishwa na mkutano mkubwa wa hadhara mjini Kilosa na hafra ya chakula kwenye makazi rasmi ya mbunge iliyohudhuriwa na makada wote wa chama wakiongozwa na Elias Tarimo Dc kilosa.
 
Dhambi ya ufisadi aliyotenda itamtafuna hadi kaburini.Hongereni CDM kwa kupambana na huyu mhalifu
 
ccm ,,,,,inawenyewe,,,,,,,,cdm niya wote,,,,,,,,,,,acha wale wali wao,,,,,,,,,vaa gwanda moyoni,,,,,:spy:
 
Ccm akili zao zimejaa matope ndiyo maana wanafanya ujinga kama huu wa kumpa heshima fisadi.
 
Hajastaafu ameachishwa kazi ya uwaziri. Lini watu watafunguka kuwaenzi waliotafuna hela ya uma? Ujinga huu CDM kaza buti wangoke wote hawa.
 
kuna sifa gani unapofukuzwa kazi kwenda kujipongeza kwa mbwembwe? nchi hii hatutafika! sasa alikua anaonyesha kua ye anapendwa sana au?
 
Waziri wa fedha mstaafu Mustapha Mkulo,jana 19 may alipokewa kwa shangwe na vingora na mamia ya wananchi wa jimbo lake .mapokezi hayo yalianzia mji mdogo wa Kimamba na kuhitimishwa na mkutano mkubwa wa hadhara mjini Kilosa na hafra ya chakula kwenye makazi rasmi ya mbunge iliyohudhuriwa na makada wote wa chama wakiongozwa na Elias Tarimo Dc kilosa.

acha uzandiki mdau,,,,mkulo hata jimbon kwake hakubaliki....
 
Hizi issue za kuiba na kula na wakwenu ndio zinapelekea haya mambo.., deep down sasa hivi wabongo wote wana element za ufisadi na culture ya kuona kwamba wizi ndio ujanja, na kutokuiba ni ushamba au kuzubaa
 
Njaa mbaya, wanakilosa hata lami hakuna ,anakuja anaendesha Vogue sport, wajinga ndio waliwao
 
mwizi huyo hao makada wameshapewa pilau na soda bau zidumu fikra za mwenyekiti.
ila hawaujui kuwa mwenzao ana ma vogue mawili mapya na gari zingine na ni kodi zao
 
Waziri wa fedha mstaafu Mustapha Mkulo,jana 19 may alipokewa kwa shangwe na vingora na mamia ya wananchi wa jimbo lake .mapokezi hayo yalianzia mji mdogo wa Kimamba na kuhitimishwa na mkutano mkubwa wa hadhara mjini Kilosa na hafra ya chakula kwenye makazi rasmi ya mbunge iliyohudhuriwa na makada wote wa chama wakiongozwa na Elias Tarimo Dc kilosa.
Ndilo kosa kubwa wanaloendelea kulifanya - kulazimisha kupendwa
 
wenye macho mabovu (vipofu) lazima wafunikwe lakini wenye macho mazima walimfunika yeye pale Bungeni dodoma na sasa anakaa back bench mjengoni pale mpe pole na wape pole watani zangu wapogoro waambie dawa ya macho imekwisha
 
Na atapata muda mzuri wa kulihudumia jimbo lake,kwani anajua pesa zinapatikana wapi, Rip Mkulo
 
Hapo ni km anamwonyesha JK kwamba hata km amemtpa uwaziri bado anapendwa..huu ni upuuzi sana
 
Wanakilosa wamenitia hasira kwa unafiki eti kijana wao kaonewa. Hadi wana quote vifungu vya quran
 
Hivi hao wananchi wana akili kweli? Wananchi tunaponzwa na njaa hizi. Tuseme wao hawasikii redio au kutizama tv? wana ufanano gani na Mkullo hata wamshangilie?
 
Back
Top Bottom