Mkulo afunika Kilosa

Hata Hitler alikuwa na wafuasi.., alafu hapo hapendwi mtu ni kile alichonacho (ndio binadamu walivyo) ungeona kama angefilisiwa na kutupwa ndani siku anatoka hata baadhi ya ndugu zake wasingekuja kumpokea
 
Kilosa hii hii waluuosema Mkullo sio raia ila mMalawi kaiba kura leo mnamsherehrkea kweli nyani haoni kundule
 
Kaka pilau la jioni, hawaoni aibu kupiga picha na fisadi kilosa elimu bado.operation sangara wapi?
 
Wapi Zito, wapi Dr Phd.leteni uamsho, Ocd kahamishwa uhamisho wa kawaida Katibu wa CCM wilaya anatamba jana mbele ya mkulo kwamba hakuwa mwenzao ndio wamemhamisha.eti alikuwa ocd wa chadema.
 
Na atapata muda mzuri wa kulihudumia jimbo lake,kwani anajua pesa zinapatikana wapi, Rip Mkulo

Huko kujua fedha zinapopatikana ndo kulimfanya atuibie hazina yetu na kujitajirisha yeye na wakwao ila siku yao ya kulia machozi na kusaga meno yaja, wataomba ardhi ifunguke iwameze.
 
In his right mind Mkullo anaona ni jambo la fahari kupokelewa kwa shangwe kwa sababu amefukuzwa kazi? Mishipa ya aibu inauzwa wapi dunia hii wampe walau kidogo Mkullo?

Na kama maandamano ya Mkullo yameruhusiwa kwa nini tunaambiwa huko kwa Nundu watu wamepigwa stop? Kati ya Nundu na Mkullo nani ameipa hasara kubwa hii nchi?
 
Na kuhitimishwa na mkutano mkubwa wa hadhara mjini Kilosa na hafra ya chakula kwenye makazi rasmi ya mbunge iliyohudhuriwa na makada wote wa chama wakiongozwa na Elias Tarimo DC kilosa.

Alichokosea ni hiyo hafra ya chakula. Ilibidi awaalike wapige kura wake wote nyumbani kwake nao wapate japo nyama na mchuzi.

TUMBIRI wa JF
 
Usicheze na kodi za wananchi zinavyoliwa ... huhamisha milima na mabonde ...... wapiga kura wala pilau na soda siku za maalum acha wafurahie Mbunge wao.... Hakuna nchi ya raha kama TZ.... Nani kakuambia kuwa ni fisadi,,, Mjue jammiiforums kijijini haipo(radio ya betri mbili hadi nne (400x4), Tv(Zecomedyau futuhi na mpira kiingilio 500, gazeti (500-800)}}
 
Kama wana thubutu kubeba watu na malori ilikupata picha kwenye magazeti kuwa watu wengi. Walihudhuria atashindwaje mkulo kulipa watu kwa ajili ya kujisafisha? Hanå jipya upo wakati wake Unaijua atatulipa vyooote!
 
Haimsaidi chochote ni sawa na kujidanganya tu mbona wakati yupo kwenye uwaziri hakutenda hayo,ndo aina ya watawala wa ccm na hiki chama mbona kinaendelea kuleta vituko.
 
Waziri wa fedha mstaafu Mustapha Mkulo,jana 19 may alipokewa kwa shangwe na vingora na mamia ya wananchi wa jimbo lake .mapokezi hayo yalianzia mji mdogo wa Kimamba na kuhitimishwa na mkutano mkubwa wa hadhara mjini Kilosa na hafra ya chakula kwenye makazi rasmi ya mbunge iliyohudhuriwa na makada wote wa chama wakiongozwa na Elias Tarimo Dc kilosa.

:lol::lol::lol: kula sisiemu , KURA CDM iyo ipo wazi mkuu,
 
Shame on you Mkulo ,kwa utendaji Mbovu uliotuka na kutojua kuongea wala kujenga hoja.
 
Deep down in his heart poor mkulo anaelewa fika M4C inamhusu na ndo kisa cha kuandaa mapokezi uchwara...sambamba na hafla. Kifupi ni kwamba siku zake zinahesabika,,,

Sisi tupo na hafla yetu huku USA-RIVER ya kijana wetu anatushukuru kwa Kura tulizompigia tar 1apr ,,Ha ha ha ha ha!
 
Naomba picha kuonesha alifunika ili nijizibitishie kuwa ujinga wa watz ndo mtaji wa CCM.
Then nitacomment!
Nilitarajia kama anakwiba then watu wake wananufaika apo sawa sasa Kilosa mbona choka mbaya
 
Hao walifuata pilau, maana hawajala siku nyingi. Cdm hakuna pilau wala kugawana sare, lakin utakuta watu wa kumwaga. Huyo ni fisadi halafu unasema kastaafu wa kati katimuliwa. Au hujui maana ya kustaafu?.
 
Kawadanganya wapiga kura wake kapanda cheo kutoka waziri wa fedha na kuwa fisadi wa fedha ambacho Ni cheo cha juu sana kwenye masuala ya fedha kwa mujibu wake
 
Back
Top Bottom