*Mkulima wa Matunda soma hapa*

*Mkulima wa Matunda soma hapa*

jrutta

Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
45
Reaction score
12
Kama we mkulima wa matunda aina yeyote njoo PM Tuzungumze kampuni inachukua matunda mbali mbali na kuyapack kwa ajili ya Export.Napenda tufanye mazungumzo na mkulima direct Sio Dalali maana tumegundua madalali hukwamisha baadhi ya biashara.
Mkulima njoo PM au 0785995599.
KARIBUNI!
 
Limao unanunua shilingi ngapi kwa kilo.
 
Pears unachukua na vp bei yenu je pia limao mwahitaji na kwa wingi gani?
 
Je kilimo cha maparachichi kwa sehemu kama Mombo kinaweza kufanyika
 
Back
Top Bottom