Mkulima natafuta soko la hiriki

Mkulima natafuta soko la hiriki

MPENDA USAWA

Senior Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
169
Reaction score
30
Mimi ni mkulima,natokea wilayani kilindi nna lima Hiriki..natafuta soko la uhakika asanteni...
 
Mimi ni mkulima,natokea wilayani kilindi nna lima Hiriki..natafuta soko la uhakika asanteni...

Same Mashariki walikuwa wanajenga Kiwanda, jaribu huko, vinginevyo Kisutu soko mjinga Dsm wanaweza kuwa wateja wako.
 
Unazalisha kilo ngapi kwa msimu mmoja? Na je ni zile za kijani baada ya kuzikausha au zinakuwa za kawaida? Na bei yaks kwa kilo ni shillingi ngapi? Utauzia kilindi au utasafirisha hadi mnunuzi Alipo? Hususan kwa mnunuzi wa ndani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom