CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
-
- #21
Hivi naomba kuuliza wanawake wote hapa MMU, mwanaune anapokutongoza akilini mwenu huwa mnakuwa na majibu yapi?
Au huwa mnajidhatiti vipi mnapoanzisha mahusiano na a total stranger?
I let my intuition guide me. And am never wrong.If we as women learnt to listen to our inner voices we would avoid alot of heartache.Hivi naomba kuuliza wanawake wote hapa MMU, mwanaune anapokutongoza akilini mwenu huwa mnakuwa na majibu yapi?
Au huwa mnajidhatiti vipi mnapoanzisha mahusiano na a total stranger?
I let my intuition guide me. And am never wrong.If we as women learnt to listen to our inner voices we would avoid alot of heartache.
eti hutaki maswali! inaonekana umelelewa na mzazi mmoja wewe!
situation za kutongozwa zinakuja tofauti tofauti,utajaribu kumpima mtu kadri uwezavyo ujue yeye ni nani pamoja na wewe mwenyewe ni kiasi gani umempenda,..YOU CANT PREVENT HEARTBREAKS HT KM UMEMJUA MTU ALL UR LIFE..LOVE IS A RISK
Avatar yako inakuponza badilishahata humu jf wapoo........
Mkuu nimesema hivo kwa sababu moja... Ukitaka kumuelekeza mtu Stendi ya.mabasi Ubungo, u simply say "Ubungo stendi ya Mkoa, stendi ya mabasi yaendayo Mikoani na hata katika taarifa huwa tunasikia hivyo.... " Sasa ambacho huelewi hapo ni nini mpaka uulize Mkoani ndio wapi???????
charminglady sidhani kama unaweza kuyaita mapenzi ni pata potea (kamari)...
Binafsi ninaamini kuwa mapenzi yana kanuni ambazo ukiziheshimu lazima utafanikiwa...
Wanawake wengi wa kizazi cha sasa (hapa nimelenga Watanzania zaidi) wanakiuka miiko ya kuanzisha mahusiano...
Kizazi kimoja au viwili nyuma mwanamke alikuwa hawezi kukubali ombi la kuolewa na mwanaume hadi apeleleze mambo kadhaa ya mwanaume...
Ilikuwa ni ngumu sana kwa wanawake kuingizwa mkenge kirahisi namna hiyo.
Wanawake wengi mmekuwa na kiu iliyopitiliza ya ndoa, mnaongozwa na hamasa zaidi.
mwengine anajua kabisa umeoa na una mtoto ila kukikucha tu anaanza kukutumia vimesaage mambo umeamkaje??? unategemea nini?
eti hutaki maswali! inaonekana umelelewa na mzazi mmoja wewe!
niweke yenye sura mbaya eeeeh?Avatar yako inakuponza badilisha
Unamaanisha tuliolelewa na mzazi mmoja hatupendi maswali
niweke yenye sura mbaya eeeeh?