David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,784
- 9,299
anauza sura tu,siunajua basket-ball ni mchezo wa ma-bishooAnafanya nini huko NBA, Jamani uwiiiiiieee
Anashangaa kama mimi, nilijua ni Saidi Fella na team zakeYalllaaaah
Kumbe Beckham Ni bishoo jaman, au analipwa huko ndugu yanguanauza sura tu,siunajua basket-ball ni mchezo wa ma-bishoo
UkweliUnasema kweli au Unatania?
fuatili ligi za NBA utamuona tu anapenda kukaa na kanye west,jay z na chris brown.Kumbe Beckham Ni bishoo jaman, au analipwa huko ndugu yangu
Umejuaje sasa?Ukweli
fuatili ligi za NBA utamuona tu anapenda kukaa na kanye west,jay z na chris brown.
timu yake kipenzi ni LA LAKERS
hahahah aya bhanaYesu wangu kumbe anajuana hadi na jay z., na Kanye west jaman?bas atakuwa mtu mzigo Sana huyu au sio kiongozi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umenikumbusha wale wachekeshaji wa Eatv wanaitana mazuzu.Yesu wangu kumbe anajuana hadi na jay z., na Kanye west jaman?bas atakuwa mtu mzigo Sana huyu au sio kiongozi?