Mkubwa na wanae....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,092
21,773
uploadfromtaptalk1467277557378.jpg
 
Natamani arudi ujana niendelee kumuona tena alivyokuwa anawatesa magolikipa kwa mikwaju ya faulo
 
Mama yao wamefanana kidogo, angalia tumacho kama baba hasa huyo wa mwisho kafanana na baba.
check vizuri mzunguko wa nywele kwenye paji la uso, midomo na kuchongoka kwa pua na kidevu...kama mama yao wallah..ni warembo balaa

labda kidooogo huyo mkubwa kaibiaibia kwa dingi yake
 
Back
Top Bottom