Mkosamali (MB) kuhamia CHADEMA

Karibu Mkosamali huku CHADEMA...achana na siasa majitaka za Mbatia na watu wake..Kwasasa ni fahari kuwa mwanachama,mpenzi au mshabiki wa CHADEMA kwa wale mliokuwa hamjui.Habari ndio hiyo!!!
 
unalipia bei gani mkuu? Ufanyike usifanyike wewe kama wewe unapata nini? Hao waliotumia bilioni 3 igunga wasingetumia wangekugawia ya mboga nyumbani?
Hivi huu uzalendo wetu umekwenda likizo? hatuoni kweli mantiki ya mtoa hoja kwamba hizo hela zinazotumika kwenye hizi chaguzi ndogo ni mzigo mkubwa kwa walipa kodi?

Mimi sishabikii kwa hali yoyote ile kufanyika kwa uchaguzi mdogo wowote ule eti kwa sababu mbunge aliyepo kahamia chama kingine. Huo utakuwa ni upumbavu kama upumbavu mwingine wowote ule
 

Nasikia walikuwa na mkakati na wale vijana waliongeliwa uchaguzi wa vijana chadema kuhamia na kufanya mapinduzi ya uongozi ndani ya NCCR
 
hamna haja ya kama Igunga, wabadilishane tu na Shibuda
 
Afadhali tutumie hela kwenye uchaguzi mdogo kuliko kuwalipa dowans.
 
Sasa ushauri wako ni upi endapo mbunge atahama jimbo libaki wazi?
 
Duh, ni kitu gani tena hiki ? Sasa naamini Tanzania inaelekea kubaya... Yaani mtu mzima anaamua kumwaga ki-banjamulenge hapa tena bila aibu !!
Ni kitu gani hiki kama siyo Ukabila ?
Wacha hizo dogo. Hivi mtu akizumgumza kabila lake tu ni ukabila?
Wakati mwingine mkikosa hoja mwaja na vituko.
 
Kwa Mbatia(NCCR) Mkosamali ulijikwaa!huyo ni kibaraka wa magamba,Felix u just come back home as soon as posible,without fear,hesitates.go get up front line's party(CHADEMA)
 
Kwa Mbatia(NCCR) Mkosamali ulijikwaa!huyo ni kibaraka wa magamba,Felix u just come back home as soon as posible,without fear,hesitates.go get up front line's party(CHADEMA)
 

kinachokusumbua ni hofu ya chadema kuongezewa jimbo.Huna uzalendo wowote ule.Ungelikuwa mzalendo ungelaani walionunua kura Igunga kwa kanga na vitenge.
 

kinachokusumbua ni hofu ya chadema kuongezewa jimbo.Huna uzalendo wowote ule.Ungelikuwa mzalendo ungelaani walionunua kura Igunga kwa kanga na vitenge.Ukishakuwa magamba unakuwa kipofu.
 
This is too much. Thats why sina chama tunahitaji wanaharakati na wazalendo zaidi wanasiasa wanaoshabikia vyama
 
Jamani tuangalie kwa makini maamuzi kama haya; mmeshudia yaliyotokea Igunga. Daftari kubadilishwa idadi ya wapiga kura mchana kweupe, uvunjaji wa taratibu za kampeni na upigaji kura, NEC & UwT kuungana na kufanya njama kunyonga demokrasia, hatimaye wanachukua jimbo.

Yeye atulize ball kwanza, maana kumkosa mbunge mmoja wa upinzani ni kuzidi kujidhoofisha!! Atulie huko, asubiri 2015!! Haya mambo ya kutapika baadaye unameza matapishi halafu bado unataka tukuone msafi, aaaarrgh, kinyaa...........

Wewe tulia tu kwanza bwan mdogo subiri D day....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…