Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Huyu atakuwa yule mtangazaji wa clouds fm anayejiita diva
Angekukamata wakati unam-selfiii!
Huyu atakuwa yule mtangazaji wa clouds fm anayejiita diva
Mkuu Salamander Huo sio mkorogo mkuu. Rangi yake ni hiyo ya maji ya kunde.
Huyu atakuwa yule mtangazaji wa clouds fm anayejiita diva
usitafute neno zuri la kuandika huo ni MKOROGOMkuu Salamander
Huo sio mkorogo mkuu. Rangi yake ni hiyo ya maji ya kunde. Hizo sehemu nyeusi zimetokea kwa sababu ya kuvaa viatu vya mchuchumio (high heels) kwa muda mrefu.
Give her a break please.
Siku zote hizi alikuwa anajaribu kukuvutia wewe kaka.
Ulipomtekeleza ndio akaamua kuvaa hizi kanda-mbili.
Huyu atakuwa yule mtangazaji wa clouds fm anayejiita diva