karimu mtila mohamedi
Member
- Jan 4, 2016
- 42
- 10
Hello wadau wa JF, mimi ni mwanafunzi wa chuo. Kuna suala nalifuatilia na ili ilkamilike kwa wakati inahitajika niwe na pesa kama milioni moja na laki mbili. But this time sina pesa kabisa.nimejaribu mbinu nyingi sna kutafuta fedha hiyonmeshindwa, nimeona bora nije humu labda naeza kupaa msaada. So natafuta mtu abae ataniamini ili aweze kuniazima pesa hiyo, au naomba mnisaidie wapi nweza kupata fursa ya kupata hii pesa.