Mkopo wa trilioni 1.3 Sekta ya Kilimo haijatengewa chochote?

Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
5,304
14,913
Hawa viongozi Wana nini?

Hali ya maisha inazidi kuwa ngumu BIDHAA za mazao zinapanda Bei kila uchao mkulima haangaliwi na serikali yake kabisa maana Bei ya MBOLEA viwatilifu na mbegu zipo juu Sana

Tanzania in vyanzo vingi vya maji lakini miundombinu ya umwagiliaji hakuna na haijengwi iliyopo imechakaa

Leo tumepata hela labda tuiinue hii sekta tunapeleka maeneo ambayo siyo kipaumbele

Mkikaa bungeni mnasema asilimia 75 ya watanzania wamejiajiri katika kilimo lakini hamtoi uwezeshi

Ila Zanzibar miaka kumi ijayo itakuwa mbali sana

#bringback tanganyika
 
Back
Top Bottom