Mkopo wa riba nafuu

Siku hizi mtu ukiwa na milioni 10 tu tayari unaweza kuanzisha 'kampuni' ya ukopeshaji. Biashara hii inalipa sana kwa sasa kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu. Ukifanikiwa kuwabana wateja wako wakaleta marejesho kwa wakati, milioni 10 yako inaweza kukuzalishia zaidi ya milioni 100 ndani ya miaka miwili tu. Karibuni kwenye biashara hii at your own risk.
 
Wanajua humu kuna wajuaji sana, akiweka % za riba hawatawapata waliwao!
Hatuwezi kubishana na watu wanaomiliki mb tu wenye vigezo wameshakuja wengi tu na wamefurahia huduma
 
Wateja wanasumbua sana kwenye marejesho sisi tukaja na njia mbadala ya kuwabana kila mwezi lazima marejesho yaje
 
Niko arusha vp hamna office huku?
 
SEGUIN CREDIT INVESTMENTS
Inapenda kuwataarifu watumishi wa idara zote za serikali kuwa inatoa mikopo ifuatayo ndani ya dakika 15 tu:
a) Mikopo ya dharura

b) Mikopo ya mtaji au kupanua biashara

c) Ada za shule.

- Mikopo inayotolewa ni kuanzia Tsh 100,000 hadi 1,000,000 kwa riba nafuu sana.
- Muda wa marejesho ni kuanzia miezi mitatu hadi sita.


Fika ofsini kwetu Keko Dar au njoo PM kwa maelezo zaidi

Pm for more information
 
Kama hujasema riba ni kiasi gani per time basi hili tangazo ni Kama udaku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…