Mkopo wa elimu wa LAPF ukoje?

Mkopo wa elimu wa LAPF ukoje?

tiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2015
Posts
441
Reaction score
259
Habari wana jamii forum naomba kujua mkopo wa elimu wa LAPF ukoje yani Mimi ni mtumishi wa serekali na ninakatwa mfuko wa LAPF ,nilichukua mkopo benki million 21 nikajenga sasa nataka nikasome mwaka huu nataka nikachukue mkopo wa elimu LAPF , wanatoa sh ngapi na wanakata hela zipi za mafao ama kwenye mshahara? Naomba mwenyekujua anisaidie maana nimesikia saivi watumishi hawaruhusiwi kusoma labda uache kazi
 
Back
Top Bottom