Mkopo wa biashara

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,253
11,598
Naomba mtu mwenye kufahamu anijulishe mahali ambapo naweza kupata mkopo wa biashara ambao una interest rate ambayo iko reasonable na masharti ambayo si ya kukatisha tamaa!

Note: Naomba taarifa za mkopo mkubwa ......100m to 1b!!

Dark City!
 
Mzee DC samahani kidogo kutoka nje ya mada.... Naomba tu endapo utafanikiwa kupata na wahitaj msaidizi unishtue... Kila la kheri katika mipangilio yako.
 
Mzee DC samahani kidogo kutoka nje ya mada.... Naomba tu endapo utafanikiwa kupata na wahitaj msaidizi unishtue... Kila la kheri katika mipangilio yako.

Hebu weka vizuri basi,

Na wewe ni mhitaji au mtoaji??

Babu DC
 
Tunatukanwa sana kwamba sie ni wavivu wa kufikiri na kutenda. Pia wengine wanasema tunapenda dezo. Na baadhi wameenda mbali kusema kuwa tunaonea wivu watoto wa vigogo ambao wanaweza kukopa 15b bila security ya maana!!

Mie nataka mwaka huu nivunje huo mwiko.....

DC!!!
 
Hujanipata Mzee DC, Mimi ni assistant bana...lol.. Incase you will need it.

Ahhaaaaaaaahh,

Kwa hiyo weewe ni miongoni mwa wale wataalamu wa kuandika miradi ya kuombea mikopo au ni assistant wa kusindikiza wanaoenda bank kupiga sound?

Hebu kuwa wazi bwana, akili zenyewe hizi zimeshapita menop...!!

Babu DC!
 
Tunatukanwa sana kwamba sie ni wavivu wa kufikiri na kutenda. Pia wengine wanasema tunapenda dezo. Na baadhi wameenda mbali kusema kuwa tunaonea wivu watoto wa vigogo ambao wanaweza kukopa 15b bila security ya maana!!

Mie nataka mwaka huu nivunje huo mwiko.....

DC!!!

Kama hizo sababu ndio zimekusukuma kuchukua huo mkopo then nakushauri achana nao. Mzee DC Mkopo (tena mkubwa hivo) unatakiwa strategies... na hizo strategies ni lazima zihusishe wewe kutambua ni nini unataka kufanya, ni nini/wapi malengo yako wataka yawe baada ya mda wa range fulani (lets say miezi 6 ya mwanzo, ya pili, ya tatu na kuendelea); Na kingine kikubwa ni vizuri ukakopa kwa malengo ya kuendeleza biashara as opposed to kuanzisha, otherwise uwe na pesa nyingine mkononi, soko reliable na guranteed production.

Tukija upande wa watoto wa wakubwa... Siwalaumu wanaowakopsha bila security for amini usiamini other names are Security enough. Mimi nikienda Bank saizi na nikasema ni Mke wa Lowassa (Gor forbid) na ni wazi inajulikana kua ni mke wa Lowassa, hio ni securty tosha kabisa. Hakuna yeyote (hata wewe) Mzee DC ambae anakubalia akopeshe mahala anajua pesa yake itapotea.... That is life whether you like it or not.
 
Kama hizo sababu ndio zimekusukuma kuchukua huo mkopo then nakushauri achana nao. Mzee DC Mkopo (tena mkubwa hivo) unatakiwa strategies... na hizo strategies ni lazima zihusishe wewe kutambua ni nini unataka kufanya, ni nini/wapi malengo yako wataka yawe baada ya mda wa range fulani (lets say miezi 6 ya mwanzo, ya pili, ya tatu na kuendelea); Na kingine kikubwa ni vizuri ukakopa kwa malengo ya kuendeleza biashara as opposed to kuanzisha, otherwise uwe na pesa nyingine mkononi, soko reliable na guranteed production.

ADii,

Niko serious sana....Nataka mkopo wa kunikwamua. Sitaki kukopa pesa mbuzi!!

Wewe nirushie taarifa tu...Nitaku-acknowldege katika andishi langu!!
 
ngoja na mimi nipige chabo hapa, nadhani DC ataniruhusu

Ruksa kabisa mkuu,

Hapa naamini tutakutana....wale wenye shida kama yangu na wale wanaotafuta wateja wa kuwakopesha!!

Hujapotea njia kamanda!!
 
Ahhaaaaaaaahh,

Kwa hiyo weewe ni miongoni mwa wale wataalamu wa kuandika miradi ya kuombea mikopo au ni assistant wa kusindikiza wanaoenda bank kupiga sound?

Hebu kuwa wazi bwana, akili zenyewe hizi zimeshapita menop...!!

Babu DC!

ADii,

Niko serious sana....Nataka mkopo wa kunikwamua. Sitaki kukopa pesa mbuzi!!

Wewe nirushie taarifa tu...Nitaku-acknowldege katika andishi langu!!

Mimi niko pamoja na wewe, mimi ndio wale ambao inabidi muongozane kwa Loan officer kupiga porojo....lol

Kila la Kheri mzee DC uweze kupata.
 
Ruksa kabisa mkuu,

Hapa naamini tutakutana....wale wenye shida kama yangu na wale wanaotafuta wateja wa kuwakopesha!!

Hujapotea njia kamanda!!

pamoja mkuu

hii thread nategemea iwe chachu ya kukwamuka kwa wajasiriamali, kweli mikopo imekuwa kikwazo kikubwa sana, hata kama una security lakini laaa ... nategemea wadau wote wakopaji na wakopeshaji watajitokeza kutoa fursa na changamoto mbalimbali
 
hadi m 30 nenda nmb au akiba hayo mabilioni usiende huko

NMB wanaboa sana wale,

Niliwahi kukopa 30m for 4 years.....interest yao (for 4 yrs) ni zaidi ya 12m...

Halafu hiyo 30m ni ndogo sana kwa kitu ninachokifanya!!

Naona hao wananifanya chuma ulete!!
 
Mimi niko pamoja na wewe, mimi ndio wale ambao inabidi muongozane kwa Loan officer kupiga porojo....lol

Kila la Kheri mzee DC uweze kupata.

Inaonekana wewe ni mtu muhimu sana kwangu, itabidi nitutumie nivunje ukimya,

Katika hili...Niko tayari ku-flirt responsibly, wewe je???? .... (joke)!!!!

Babu DC!!
 
May be niongeze dimension nyingine,

Kama naagiza bidhaa nje..na tayari nina LPO ya customer kuonesha kuwa huo mzigo tayari utauzika kwa customer ambaye tayari yuko tayari kutoa uthibitisho.

Watu gani wanatoa mikopo katika case kama hii??

Babu DC!!
 
Inaonekana wewe ni mtu muhimu sana kwangu, itabidi nitutumie nivunje ukimya,

Katika hili...Niko tayari ku-flirt responsibly, wewe je???? .... (joke)!!!!

Babu DC!!

hahahaha.... Mzee DC naona niondoke hapa tutaharibu thread. WARNING:- In this world of today usimkaribishe karibu Mwanamke, let alone mwanadamu yeyote kwa kumuamini moja kwa moja akijua umetoka kupata mabillion. We could be so evil we species... Pamoja Saana DC. Best of Lack.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom