Kuna jamaa ni Jiran angu ni "mpishi" kule ndani aliniambia ni ijumaa ila sina uhakika maana ni mnafiki nafiki flan hvNi lini second batch itatoka kwa mtu wenye taarifa yeyote atujuze.Sie walala hoi shughuli ipo batch ya kwanza tumekosekana tunategemea round ya pili