Mkopo mdogo wa fasta

Hapana tusifike huku....ahadi yake ni leo...na mpaka sasa bado siku haijaisha......hatuwezi kumuhukumu....nina hakika atarejesha.

Behind the veil of these illusions lay a harsher reality
 
Bora huyu anaonesha uaminifu mimi kuna mtu nilimkopesha pesa yangu hapa JF kaishia kunitapeli...
 
duh!!!! was busy sana siku ya leo na ndio naingia JF leo, kweli nilipokea na cash ipo ila muda umekwenda hapa nilipo nashindwa kutuma. Asubuhi nitakamilisha mkuu usijali

Thanks once again @mkandumbwe
Mkuu ongera kwa kujitokeza.kesho embu uonyeshe umma uaminifu wako.
 
duh!!!! was busy sana siku ya leo na ndio naingia JF leo, kweli nilipokea na cash ipo ila muda umekwenda hapa nilipo nashindwa kutuma. Asubuhi nitakamilisha mkuu usijali

Thanks once again @mkandumbwe
I trusted you and i still have a very big trust on you bro....... Hakuna shida bro take you time...pole pole utanitumia. Thanks kaka kwa kuobesha uaminifu wa hali ya juu. Kama wote tutaonesha uaminifu basi tutafanikiwa kuifanya dunia a better place to live.

Thanks kaka @Malcom05
 
Yan hta elfu 10 utashangaa hakulipi hakumbuki fadhila,, hakumbuki umemwokoa vipi,,hajali tena ili mradi lake limeisha ,, sijui nitaondokana vipi na hii shida mana nahisi ni ugonjwa kwa kweli najikuta namjali mtu kuliko mm najali kupita kiasi sielew n nn haswa hunikumba kwa wakati huo,, sitakaa nisahau niliwahi danganya kwa mume wangu nimepoteza pesa ili nimsaidie rafiki yangu alokuwa anachukuliwa vitu vyake kufidia den matokeo yake hakuwahi nilipa ile hela ,,,niliumia mno ...NDO WANADAMU KAKA TUNAISHI UTADHANI HAMNA KESHO....
 
Umeona faida ya uaminifu,, nilidhulumiwa hela ya tenda kisa kumuamin mtu sikuandikishiana nar nikiamin n mtu mzima ..akajiona fahar kweli last month nikapewa tenda kubwa mara mbili ya wale nikaambiwa nimpe tenda nikamwambia bos huy mtu anadaiwa nemc hajarenew certificate ..kumbe n kwel nami nilibahatisha tu ..nikamnyima ile tenda na kijana wake nikamwandikia ripot mbovu akaondoka ktk ile ofis .....TUKIWAZA WALAU KIDOGO KUNA KESHO NA KUNA SHIDA BADO KWAN HAZITUISHI TUNGEBADILIKA NA KUWA WEMA KWA KWELI!
 
duh!!!! was busy sana siku ya leo na ndio naingia JF leo, kweli nilipokea na cash ipo ila muda umekwenda hapa nilipo nashindwa kutuma. Asubuhi nitakamilisha mkuu usijali

Thanks once again @mkandumbwe
Haka ka ela ka mkopo ni katamu bwana hata kama unacho kukituma hivi hivi sio rahisi lazima mtu apigwe sound kidogo ,bwana Malcolm ameomba atume kesho asubuhi

Ila hongera kwa uaminifu kuna wengine baada ya ishu kama hii hata msg hajibu
 
i told you guys ..... haaa haaa
more than 4 I'd on the same verge .... deceit is an evil path
 
Hongera kwa Hilo na Mungu akubariki lolote unalokir na kufikir ndo utalipokea.waaminifu bdo wapo tunaamin atalipa.
 
Dah...Alhamisi leo mjue... Pesa imelipwa??? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…