Mkopo kwa 'diploma holders'

Mkopo kwa 'diploma holders'

Slavins

Senior Member
Joined
Aug 18, 2016
Posts
101
Reaction score
36
Wakuu samahan naomba kuuliza kuna mwanafunzi mwenye diploma aliyechaguliwa kujiunga degree amepata mkopo? kama upo naomba kufahamu umemaliza diploma mwaka gan? maana mim nimemaliza diploma 2013 na nimechaguliwa 'Petroleum Engineering' ni kozi ya kipaumbele lakin mpaka sasa hola. Sasa nataka kujua ni mim tu mwenyewe au diploma tumepigwa chini? au tumepelekwa batch za mwisho kama walivyotufanyia Nacte?
 
Nchi ngumu sana hii.
Kila kitu hakijulikani
 
Hakuna mwenye jibu sahihi subir second batch had batch ya tano, mkopo anapata kila mtu
 
Me nimemaliza mwaka jana 2015 nimechaguliwa water resources and irrigation engeering kozi ya kipaumbele ila sijapata bado nina matumaini
 
Hili mbona liko wazi sana. Ni hivi:

Form six wote na diploma holders wote, sifa mojawapo ya ku-apply mkopo ni uwe ulihitimu masomo yako kuanzia mwaka 2014 to 2016.

So, wale wote waliohitimu KABLA ya mwaka 2014, hawana sifa ya ku-apply mkopo, yaani don't bother!

-Kaveli-
 
Hiyo 2014 had 2016 ndio wanaoruhusiwa kupata mkopo umeitoa wap, acha kupotosha watu , weka hiyo guideline inayosema hivyo cyo lazima kuchangia watu wako siriaz na swala la mkopo na watu bado wanasota nyumban hawajui hatma ya mikopo we unaleta utan humu, uwe na details zenye mshiko plz
 
unalosema ni kweli kwa kozi zote prioriyy cluster 2, ila kuna kozi ziliwekwa kama priority cluster 1 hizo zilipewa kipaumbele cha kutolewa mkopo bila kujali ulimaliza form 6 au diploma mwaka gan. Jaribu kupitia guide book vizuri utaelewa nin namaanisha.
 
mkuu anachosema ni kweli na guide book ya mkopo inasema hivyo kwa kozi zote zilizopo katika kipaumbele cha pili ambazo ni pamoja na kozi nyingi za engineering na kozi nyinginezo nyingi. Ila kuna kozi ziliwekwa katika kipaumbele cha kwanza zikiwema kozi zote za afya, ualimu wa sayansi na hisabati, mafuta na gesi pamoja na kozi ya ujenzi na umwagiliaji (civil and irrigation engineering), guide book inasema kwa yeyote atakaye pata chuo katika mojawapo ya kozi hizi atapata mkopo bila kujali amemaliza form six au diploma mwaka mwaka wowote huko nyuma. Jaribu kusoma vizuri guide book yao utaelewa.
 
Hiyo 2014 had 2016 ndio wanaoruhusiwa kupata mkopo umeitoa wap, acha kupotosha watu , weka hiyo guideline inayosema hivyo cyo lazima kuchangia watu wako siriaz na swala la mkopo na watu bado wanasota nyumban hawajui hatma ya mikopo we unaleta utan humu, uwe na details zenye mshiko plz

Wewe unaonekana ni kiazi mbatata, yaani bonge la killaza.

Mnapuyanga tu bila kusoma guidelines. Hovyoooooo.

-Kaveli-
 
unalosema ni kweli kwa kozi zote prioriyy cluster 2, ila kuna kozi ziliwekwa kama priority cluster 1 hizo zilipewa kipaumbele cha kutolewa mkopo bila kujali ulimaliza form 6 au diploma mwaka gan. Jaribu kupitia guide book vizuri utaelewa nin namaanisha.

Ahsante mkuu kwa ufafanuzi makini.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom