Kwako Badru: Ni lini Diploma holder waliomaliza mwaka huu (2016) watapata mkopo?

Swizzy

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
773
511
Habari wana JF!!

Nimeamua kuandika hii thread ili imfikie moja kwa moja Mkurugenzi wa bodi ya mikopo Mh. Abdul Razaq Badru.

Mpaka saizi navyo andika hii thread kuna vilio vingi sana vya wanafunzi wa diploma holder walio maliza mwaka huu (2016) kwa sababu hakuna mwanafunzi yeyote (mhitimu wa diploma holder 2016) aliyepata mkopo mpaka saizi, diploma wengi waliopata mikopo ni walio maliza mwaka jana (2015) kushuka chini. Sasa hawa waliomaliza mwaka huu (2016) hawajui hatma yao na hakuna tangazo lolote lililotolewa mpaka saizi kuhusiana na hawa wanafunzi na ukizingatia wengine course walizo chaguliwa na TCU kujiunga huko vyuoni ni PRIORITY.

Ndugu Mh. ABDUL RAZAQ BADRU (mkurugenzi mkuu wa bodi ya mikopo) tunaomba utoe kauli juu ya hawa diploma holder waliomaliza mwaka huu kama wao mmeamua kuwaweka pending au lah!...maana masomo karibia vyuo vyote yameishaanza.

Source (1): Muulize diploma holder aliye maliza mwaka huu (2016) yeyote uliye karibu naye na mwenye vigezo vya kupata mkopo

Source (2): Diploma holder walio maliza mwaka huu (2016) na wamechaguliwa vyuo mbalimbali ...mfano DIT, MUST, ATC, UDSM, NIT n.k
 
Hii serikali inatiwa na wachawi tu wanakatisha ndoto zetu hivi hivi kwani kusoma diploma ni dhambi? Manina Ndarichako, magu na CCM yote mm sipendagi ujinga ujinga . Nimejaribu kuvumilia mpaka nimechoka kumamae CCM
 
kijana hizo hasira mbona zime zidi
 
kweli ase,bodi iwafkirie kwa kwel mana vijana wapo pale UD hawana mkopo,hao diploma holders maish ynyew haya kwa usawa huu bla hela.bure kabsa huwezi soma
 
Vigezo nikuwa kama hujapita form 6 mkopo hakuna, mkuu alisema mambo ya kuunga unga hataki saivi, level ya diploma mkapige kwanza kazi afu baadae mjilipie wenyewe
 
Vigezo nikuwa kama hujapita form 6 mkopo hakuna, mkuu alisema mambo ya kuunga unga hataki saivi, level ya diploma mkapige kwanza kazi afu baadae mjilipie wenyewe

Acha kupotosha umma na uongo wako huo
 
Vigezo nikuwa kama hujapita form 6 mkopo hakuna, mkuu alisema mambo ya kuunga unga hataki saivi, level ya diploma mkapige kwanza kazi afu baadae mjilipie wenyewe
Unaongea pumba kamwambia nan hayo maneno? Mbona mm diploma holder lkn nimepata?
 
Hii serikali inatiwa na wachawi tu wanakatisha ndoto zetu hivi hivi kwani kusoma diploma ni dhambi? Manina Ndarichako, magu na CCM yote mm sipendagi ujinga ujinga . Nimejaribu kuvumilia mpaka nimechoka kumamae CCM
Oi utafikiri oi hii serikali acha bana unakabwa na mia tano iko mfukoni
Africa style
 
Back
Top Bottom