Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Mimi sitahitaji shilingi hata moja kusimamia mahala popote chadema watanihitaji. Fedha isiwe kigezo cha ukombozi wa nchi yetu. Tunahitaji kujitoa zaidi kuliko kutegemea tulipwe. Kutegema chama kuwalipa ni kukubali kuwa mawakala wetu wetu walikuwa kwa maslahi binafsi zaidi kuliko wananchi wa Tanzania.

Kulikuwa na post hapa isemayo 'Ushindi wa JK ni shubiri kwa CCM'. Ambaye anaweza kuipata ai repost tena tafadhali.Rutashuba---nanihii
regardless of what you think, opposition will have a smooth ride on 2015. because chadenma have paved the way for their progress
we roll tings'/...........
Kudos Aeka Mangi.
The issue of money for service to your party is the CCM way. I dont think we should go the same way to build CHADEMA, CUF, or any other political party in that matter. This will set a bad precedent that money is the issue. I believe that the ideology and the urge to serve is the building block for a strong and cohesive party. Members will have to understand that party politics is not about individuals gains but community service whose dividends have public interests. Tusianze mambo ya wajumbe wa kikao kujilipa madonge manono kuliko manufaa ya kikao chenyewe.
It will be hard to a society and leadership used to benefit from these clandestine payments, however, we need to be principled otherwise five to 10 years to come, we will find ourselves in the CCM mess today!!!

Kwa vituo takribani 52, 000 Chadema ilipaswa kutumia bilioni tatu kuwalipa mawakala kwa vituo vyote nchi nzima na kwa shilingi elfu hamsini kwa kila wakala.................kwa kutofanya hivyo na kuwategemea wagombea udiwani na ubunge kuwagharimia mawakala ulikuwa ni mkono wa birika ambao sasa machungu yake wote tunayaona..........
Pale ambapo NEC iliyoteuliwa na CCM ilipoamua kutowalipa mawakala Chadema ilipaswa kushtuka kuwa ni mkakati mzito wa CCM wa kuwarubuni mawakala kusaini matokeo ambayo yawezekana siyo sahihi....................Taarifa nilizonazo Chadema wanadai wanazo takwimu ambazo zaonyesha Dr. Slaa kashinda Uraisi.....kama hizo taarifa ni kweli basi mkakati wao ulikuwa ni sahihi.............lakini kama siyo ni kweli basi kurudia kuhesabu kura katika chaguzi zote zenye utata ni jambo la muhimu kwa minajili ya kuwatoa hofu wapigakura kama kweli sauti yao haikudhulumiwa na ufisadi wa CCM...........................
Hili ni la muhimu hata kwa CCM yenyewe katika kuweza kupata uhalali wa kuongoza nchi bila ya zengwe na mashaka kuwa ni dhuluma tu ndiyo inawaweka madarakani..........na aliyeingia madarakani kwa dhuluma ataendeleza dhuluma kubaki madarakani na katika kuwatumikia raia....
Huko tuendako Chadema iwe na mkakati wa kuweka fungu mapema la kuwalipa mawakala nchi nzima kuondokana na wasi wasi kuwa mawakala wana ukata mkubwa kiasi kuwa waweza kununuliwa........uwakala ni kazi yenye kustahili kuheshimiwa kwa malipo pamoja na kuwepo punje punje za kujitolea................

Mkuu umegonga penyewe.hizo bilioni TATU CHADEMA kingezizaa wapi ......mkuu kama sio ndoto !!! ni pesa nyingi hizo....CHADEMA Walitegemea mawakala wengi wakiwa ni wanafunzi wa vyuo vikuu waliojitolea ....baadhi kwa mapenzi tu tena bila senti....CCM iliwalipa kila wakala wao laki moja!!
kama sio mawakala wa chadema hata hivyo viti 30 walivyopata wasingepata..watu jifunzeni kuwa na shukrani kwa walio jitolea...chukulia mtu kama sugu ....alikuwa na pesa gani ya kumlipa mawakala kumshinda mpesya.....vijana wamejitolea tu!