Mkono Sweta

Mkono Sweta

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,414
hii iko pale mafinga iringa,

SWETA.JPG

DSC06059.JPG
 
Kushinda umevaa khanga kwa mwanaume sio jambo rahisi

hii imenikumbusha ilipokuaga zamu yangu nilirusha miguu hadi manesi wakajazana kuja kunishika ili nisijitetee. Ilikua shughuli.
 
Kama ni tangazo halijakidhi madhumuni kwa kumwonyesha huyo jamaa aliyetishika na kutoa macho hivyo!

Uko sahihi kabisa kamanda, tangazo linatisha badala ya kushawishi. hapo vichwa vilikaa vikakubaliana litoke. APPROVED
 
umeona jamaa alivyotoa macho akidhihirisha kuwa hii mambo ni hatari, sasa sijui ndo lilikuwa lengo lao au vipi mi sijaelewa Baba V
 
Last edited by a moderator:
Kushinda umevaa khanga kwa mwanaume sio jambo rahisi

hii imenikumbusha ilipokuaga zamu yangu nilirusha miguu hadi manesi wakajazana kuja kunishika ili nisijitetee. Ilikua shughuli.
Ulidondosha mokonosweta ukiwa 18yrs nini mkuu...:hat::hat:
 
Aisee mimi nakumbuka mkono sweta nilidondosha mwaka 2000 nikiwa darasa la tano with 11 yrs
 
Ni tangazo!

Hahahahaaa🙂 Umenikumbusha tohara za O-level sekondari za bweni enzi za MWALIMU...Wanafunzi waliotahiriwa wanawatania wenzao ambao bado hawajapitia zoezi hilo ETI WANA MIFUKO YA KUTOLEA UNGA KWENYE MASHINE YA KUSAGA NA KUKOBOA.......Kwa mtazamo mkono wa sweta na kimfuko kitumikacho kutolea unga katika mashine ya kusaga ni kama MAZIWA NA TUI LA NAZI.....

Dondosha mikono ya sweta jamani kupunguza maambukizo ya UKIMWI (na kufanya tendo la ndoa liwe tamu zaidi; kwa mtazamo wangu)
 
umeona jamaa alivyotoa macho akidhihirisha kuwa hii mambo ni hatari, sasa sijui ndo lilikuwa lengo lao au vipi mi sijaelewa Baba V

Nakumbuka kuona bango moja kubwa sana la tangazo la kinywaji fulani maarufu sana duniani katika nchi fulani ya kiarabu.Bango hili lilikuwa na picha nne zimefuatana kimshazali(horizontally). Picha ya kwanza ilionyesha mtu anakimbia nafikiri ni mwanariadha huyu. Na ya pili inaonyesha kachoka kainama na kushika magoti yake. picha ya tatu mtu yule akawa ankunywa kinywaji kusudiwa na picha ya nne inamwonyesha uchovu umemwisha na anatabasamu kuonyesha kafurahi. Sasa tatizo waarabu wanaandika na kusoma kutoka kushoto kwenda kulia and therefore wakawa wanangalia picha ya mwisho kama ndio ya kwanza basi ujumbe ukawa kinyume kabisa.
 
Kushinda umevaa khanga kwa mwanaume sio jambo rahisi

hii imenikumbusha ilipokuaga zamu yangu nilirusha miguu hadi manesi wakajazana kuja kunishika ili nisijitetee. Ilikua shughuli.

Hao wakubwa watapewa anaesthesia na kuchukuliwa kama operation kubwa ndani ya theatre.
 
Hahahahaaa🙂 Umenikumbusha tohara za O-level sekondari za bweni enzi za MWALIMU...Wanafunzi waliotahiriwa wanawatania wenzao ambao bado hawajapitia zoezi hilo ETI WANA MIFUKO YA KUTOLEA UNGA KWENYE MASHINE YA KUSAGA NA KUKOBOA.......Kwa mtazamo mkono wa sweta na kimfuko kitumikacho kutolea unga katika mashine ya kusaga ni kama MAZIWA NA TUI LA NAZI.....

Dondosha mikono ya sweta jamani kupunguza maambukizo ya UKIMWI (na kufanya tendo la ndoa liwe tamu zaidi; kwa mtazamo wangu)

niliwahi kusikia kuwa mwenye mkono sweta anapata more sensation kuliko aliyedondosha kwa sababu ya soft top skin, na logically mwanamke ambaye anashika mkono bila sweta anapata more sensation kwa sababu mkono unakuwa sugu (hard top skin).
 
Hahaha! Ingefaa kuwa ya mwanamke ndo anamshangaa jamaa,lol! Hivi miaka hii ukikutana na mkono sweta si lazma ukimbie, kha!
Kama ni tangazo halijakidhi madhumuni kwa kumwonyesha huyo jamaa aliyetishika na kutoa macho hivyo!
 
Back
Top Bottom