Mkomoe mwanga

Mkomoe mwanga

Hukumuelewa Mshana amesema kama uramuhisi MTU anaekufanyia ubaya, pengine umemuona usingizini ba asubuhi unaweza ukakutana nae gengeni ile sura ikakujia na ukavuta wazo ndie Huyu niliemuona usingizini. Ujue ni yeye kweli hapo unatakiwa uchukue hatua alizozitaja

Enhee akikuluka na kukupeleka Polisi si kesi iyo
 
wewe jamaa mtata. uzi wako hauna uhalisia labda wanga wa ulaya au haya mambo umeyachukua kitabuni. Kumjua au kumuoa mwanga kunahitajika nguvu ya kishirikina na sio kirahisi hivyo unavyosema. Mi kwa umri wangu huu nakaribia miaka 50 sijawahi sikia mtu kumchota unyayo mwanga.

Umri sio tija ndugu kuna mengi huyajui tuache tu kama ilivyo
 
Hukumuelewa Mshana amesema kama uramuhisi MTU anaekufanyia ubaya, pengine umemuona usingizini ba asubuhi unaweza ukakutana nae gengeni ile sura ikakujia na ukavuta wazo ndie Huyu niliemuona usingizini. Ujue ni yeye kweli hapo unatakiwa uchukue hatua alizozitaja

ok, ni kweli.
 
1473876495697.jpg
 
Mganga wa kienyeji katika ubora wake, Wateja miminikeni
 
ndulele tatu jivu ni ipi na hiyo damu yako ujikate au au mayone ya dam hayana lazima kama huwezi kujikata
 
Wewe ndiyo unatakiwa mungu akurehemu mbona silaha zinauzwa dukani na ni hiyari yako ukanunue uitumie kuua binadamu mwenzako au mnyama na pia hilo somo na amekupa angalizo un a hiyari kufuata au kukataa uchawi upo hata kwenye vitabu vya dini umeandikwa na siyo kila kitu Mungu atakufanyia ndiyo maana umepewa akili ya lupambanua mema na mabaya na suala la kujihami na adui unatakiwa ufanye yale unayoyafahamu wewe kama binadamu na yaliyo nje ya uwezo wako Mungu atakusaidia ndiyo maana unafunga mlango ingelikuwa kila kitu ni Mungu basi hata milango tusingefunga kwakuwa mungu atakulinda hebu jaribu kutokupisha ambulance uone mungu atakulinda au??? IMANI ZINGINE JARIBUNI KUTAFAKARI KWA KINA KABLA YA KUKURUPUKA MIMI NAMPA BIG-UP MSHANA ENDELEA KUSHUSHA SOMO LA KAMATI YA UFUNDI ILA NI NANI UTAMPATA AKIWA PEKU SIKU HIZI NA KUNA WENGINE UKICHUKUA NYAYO ZAO KAMA MIMI HULALI SASA HAPO INAKUWAJE???
Noma sana....university of wizard in JF.
 
Leo nafundisha live...!!! Kwa wale wasiopenda natanguliza kuomba radhi TUVUMILIANE kuna baadhi wanaohangaishwa yatawafaa

Wanga ni watu hovyo sana hukufanyia mambo ya kukuchosha mwili na vitu vya ajabu ajabu bila faida yoyote
Hivyo basi mtu wa kaliba naye hana budi kupata shida kidogo pale inapobidi

Tafuta ufanikiwe kupata mchanga wa nyayo zake akiwa peku,tafuta ndulele tatu jivu pilipili kichaa au ----- na kipande kidogo cha kaniki....changanya vyote ikibidi twanga ongeza na matone kadhaa ya damu yako kisha funga kaza sana kwenye kipande cha kaniki
1. Sigina na kisigino huku ukinuizia kama unataka miguu imuume
2. Choma na sindano ukitaka miguu ichome chome
3. Banika motoni ukitaka miguu yake iwake moto
4. Kaanga kwenye kikaango kikavu ukitaka miguu imuwashe
Fanya hivi kama unaamini hizi mambo na una roho mbaya ya visasi...kumbuka kuna hukumu siku ya kiama
Sihusiki na matokeo ya matendo yako

Mi naomba 'course' ya jinsi ya kumtengenezea mtu mdoli wa 'VOODOO'!
 
Nilivyoona issue ya mwanga tu nikajua mshana hapa..!
 
Ukiweza kumtibua mwanga Hushindwi kumfurahisha Mwanga,Naomba dawa ya Kumfurahisha Mwanga ili niepuke adhabu mbele za Mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom