Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,032
mchanga alipokanyaga mchawi unaupataje?
Thanks and anxious waiting!
Mkuu miguu inaniwaka moto nivuapo viatu na kuketi sebuleni kwangu !vipi wameshanifanyia yao?
hapo kwenye red umeniachaChoma mfupa wa noa vukiza moshi wake chumbani
Choma mfupa wa noa vukiza moshi wake chumbani
Pole sana usidhani wote tunauelewa mdogo kama wako juu ya ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili hako unakokafahamu wewe ni 0.01% lakini kuna makubwa kuliko unayoyafahamu kuhusu ukristo.
Leo nafundisha live...!!! Kwa wale wasiopenda natanguliza kuomba radhi TUVUMILIANE kuna baadhi wanaohangaishwa yatawafaa
Wanga ni watu hovyo sana hukufanyia mambo ya kukuchosha mwili na vitu vya ajabu ajabu bila faida yoyote
Hivyo basi mtu wa kaliba naye hana budi kupata shida kidogo pale inapobidi
Tafuta ufanikiwe kupata mchanga wa nyayo zake akiwa peku,tafuta ndulele tatu jivu pilipili kichaa au ----- na kipande kidogo cha kaniki....changanya vyote ikibidi twanga ongeza na matone kadhaa ya damu yako kisha funga kaza sana kwenye kipande cha kaniki
1. Sigina na kisigino huku ukinuizia kama unataka miguu imuume
2. Choma na sindano ukitaka miguu ichome chome
3. Banika motoni ukitaka miguu yake iwake moto
4. Kaanga kwenye kikaango kikavu ukitaka miguu imuwashe
Fanya hivi kama unaamini hizi mambo na una roho mbaya ya visasi...kumbuka kuna hukumu siku ya kiama
Sihusiki na matokeo ya matendo yako

Khaa!! Profesa hii mbona hela tayari!. Ngoja nijisogeze beach nikakusanye mchanga watakaokanyaga wazungu
Mmh vyuma avatar ina nini?
Leo nafundisha live...!!! Kwa wale wasiopenda natanguliza kuomba radhi TUVUMILIANE kuna baadhi wanaohangaishwa yatawafaa
Wanga ni watu hovyo sana hukufanyia mambo ya kukuchosha mwili na vitu vya ajabu ajabu bila faida yoyote
Hivyo basi mtu wa kaliba naye hana budi kupata shida kidogo pale inapobidi
Tafuta ufanikiwe kupata mchanga wa nyayo zake akiwa peku,tafuta ndulele tatu jivu pilipili kichaa au ----- na kipande kidogo cha kaniki....changanya vyote ikibidi twanga ongeza na matone kadhaa ya damu yako kisha funga kaza sana kwenye kipande cha kaniki
1. Sigina na kisigino huku ukinuizia kama unataka miguu imuume
2. Choma na sindano ukitaka miguu ichome chome
3. Banika motoni ukitaka miguu yake iwake moto
4. Kaanga kwenye kikaango kikavu ukitaka miguu imuwashe
Fanya hivi kama unaamini hizi mambo na una roho mbaya ya visasi...kumbuka kuna hukumu siku ya kiama
Sihusiki na matokeo ya matendo yako
hapo kwenye red umeniacha
Dah Mkuu!by instinct huwa naiweka miguu yangu kweye beseni la maji na kweli hujihisi afadhali ,nitafuata ushauri wako na MASTER PLAN ni kweli niliuwa natibiwa ulcer kama miaka minne nyuma na waliniambia ni michubuko tukwenye utumbo yaani si ulcer kamili. itabidi nirudi hospitali!Chukua vitunguu saumu twanga weka kwenye maji ya vuguvugu changanya na asali kidogo kisha loweka miguu humo kwa dk kumi daily kwa wiki moja....kila unapotoa miguu majini paka mafuta ya nazi lala
Fanya hivyo ukishaoga