wameshakubanika ukomeMkuu miguu inaniwaka moto nivuapo viatu na kuketi sebuleni kwangu !vipi wameshanifanyia yao?
ha ha ha haKhaa!! Profesa hii mbona hela tayari!. Ngoja nijisogeze beach nikakusanye mchanga watakaokanyaga wazungu
wameshakubanika ukome
ha ha ha pole aiseeHa!ha!wacha visa wewe!watu tunaumwa bhana!
kuna mmoja nikilala ananikaba sijui nimemkoseaga nini? halafu ananivizia usiku nikienda kukojoa halafu ile nataka kulala ananigwida kweli kweli nataka kumakamata huyu aniambie kwani nilimkoseaga nini kunikaba vileDuu nani huyo mtani
kuna mmoja nikilala ananikaba sijui nimemkoseaga nini? halafu ananivizia usiku nikienda kukojoa halafu ile nataka kulala ananigwida kweli kweli nataka kumakamata huyu aniambie kwani nilimkoseaga nini kunikaba vile
ha ha ha huyo jini mahabaDuh.kuna mmoja huwa yy ananishika pu.mbu hotel moja Dodoma...kila nikibugi nikalala hapo ni sheshe usiku...